Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Hello Ni Binti miaka 24 natafuta kazi ya sales au hata viwandani ku-oparate Nipo Dar
4 Reactions
16 Replies
1K Views
wakuu kila mara nakuja humu kuomba kazi, napost thread lakini watu wanaangalia tu, jamani mnataka niendelee kuteseka hivi hivi? Aya! nina bachelor degree ya Business IT. experience in...
2 Reactions
6 Replies
609 Views
Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu. Kijana mwenye nguvu na afya njema naombeni ajira au kibarua ili niweze kumudu garama za maisha hapa Tanzania. NATAFUTA AJIRA AU KAZI NJE YA TAALUMA YANGU. Nipo tayari...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnijuze Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ? Kipo wapi ?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu nyote. Nipo hapa kwa ajili ya kujitolea kazi ya uangalizi mgonjwa, mlemavu, nk majumbani. Age 28 Jinsia KE Malipo atakadiria boss mwenyewe kwasabbu sina experience yoyote ila ipo...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Najua kuzungumza lugha hiii ya kichina....
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wana JF. Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Natumaini baadhi wa members wa JF walienda kufanya usaili wa jeshi la zimamoto, hivo mtupe mrejesho kipi kilichojili uko
3 Reactions
27 Replies
3K Views
OR- UTUMISHI, kuna uwezekano mkubwa sana wa vijana wengi kuugua afya ya akili hasa wale wanaosubiri matokeo ya ajira na hii inasababishwa na ukimya wa muda mrefu unaofanywa na OR- UTUMISHI kwa...
4 Reactions
7 Replies
776 Views
Habari wanajamii humu A short while back nilikuja humu nikiwanatafuta kazi kutokana na feedback nikashawishika kutumia ujuzi na fani yangu kujitafutia ridhiki hivyo basi kwa muhitaji wa website...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Habari zenu wadau. Katika kusaka mkate wa kila siku kuna fitna na roho mbaya tunafanyiana huku makazini zinazopelekea either kufukuzwa kazi mazima au kusimamishwa. Mimi bana nilikua kwa jamaa...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau kwa aliewahi kufanya usaili wa vitendo kwenye level ya diploma in information and communication technology ni kipengele gani huwa wana deal nacho
2 Reactions
0 Replies
392 Views
Habari zenu! Video Editors naomba mnisaidie nisome maeneo yapi muhimu kwa ajili ya kufanya interview. Msaada wenu ni wa muhimu sana. Natanguliza Shukrani.
2 Reactions
3 Replies
336 Views
Nimekuta nimetumiwa email hii. Post ilipostiwa humu; https://www.jamiiforums.com/threads/relationship-officer-ii-4-posts-at-tanzania-commercial-bank-february-2025.2307478/
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wakuu, natumaini mnaendelea vyema na shughuli za kulijenga taifa. Kuna jambo moja nimelifatilia Kwa watu mbalimbali japo nimepata majibu mchanganyiko. Kwa hivyo nimeona nililete kwenu...
1 Reactions
12 Replies
921 Views
Wanajukwaa mambo vipi? Kuna company tulifanya interview kama wiki tatu zilizopita, juzi kuna baadhi ya wasailiwa walipokea jumbe kupitia barua pepe zao kuwa AHSANTE KWA KUSHIRKI mean...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Natafuta kazi wanandugu nina diploma ya secondary education mwalimu wa biology naishi Dar es salaam. Mbarkiwe.
1 Reactions
2 Replies
410 Views
Sa
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
0 Reactions
4 Replies
512 Views
Poleni na majukumu ndagu zangu. Nime-aplly kazi katika taasisi ya taliri ambayo inajihusisha na utafiti wa rasilimali za mifugo na mamlaka ya viwanja vya ndege TAA kupitia sekretarieti ya ajira...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom