Wakuu ni hivi kama nilivyoeleza hapo awali Kuwa Nina umri wa 26 na elimu ya form six na pia Nilisoma NTA level 4 in mechanical engineering nilikua naomba kuuliza endapo kama nitaamua kurisk pesa...
Kwa jina naitwa Ahmad ni kijana, mkazi wa mkoa wa Dar es salaam, nina Diploma in Public sector accounting & Finance natafuta mahali pakufanya internship katika kada ya accounting. Iwe sector...
Wakuu habari za muda huu. nimekuwa nikitafuta kazi kwa udi na uvumba, jasho na da..., ila sijafanikiwa kupata hata hivyo.
nina bachelor ya Business Information Technology, nikiwa nimejikita...
Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali...
Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa.
Natanguliza Shukran 🙏
Nafanya kazi hizi
-Kufundisha somo la uchumi na commerce katika O-levels na advance levels.
-Kufundisha uchumi katika undergraduate level certificate, diploma na bachelor degree.
-Kutoa notes na...
Habari za leo ndug zangu hope mko poa, Nina habar njema natafuta Wakalimani(Translators) wanaojua lugha ya kichina vijana kama sita ivi kazi yao kutafsir watakuwa na hao wachina ambao hawajui...
Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life...
Kisa cha kweli Mwajili Tapel kuweni Makini sana.
Katika Ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa adimu kuna matapeli wengi wanaoliza watu tuwe makini, Hiki ni Kisa cha kweli kabisa kanisimulia...
Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance
Nahitaji kubadilishana na wa...
Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance
Nahitaji kubadilishana na wa...
Join the Future of Education: Exciting Teaching Opportunities with MDAs & LGAs in Tanzania
Are you passionate about shaping young minds and contributing to Tanzania’s educational landscape? The...
Habarini wakuu, naitwa frank kijana nimemaliza kidato cha sita mwaka huu apa, ndo tunasubiri maswala mbalmbal twende chuo ila sipo vizuri kifedha. Mwenye Kuna fursa ya kazi aniunganishie wakuu...
💡Unahitaji pesa ya ziada kila mwezi? Unatafuta njia halali ya kujiongezea kipato bila kuuza bidhaa yoyote? Basi jaribu hii cpa marketing
Leo nakuletea mfumo wa kipekee wa masoko unaotumika...
Habari za muda huu wakuu,
Nipo mbele yenu kutoa ushuhuda wa jinsi jukwaa hili lilivyoleta mwanga kwenye maisha yangu.
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa hapa nilipo naamini...
Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku...
DEADLINE FOR APPLICATIONS
19 June 2025-23:59-GMT+03:00 East Africa Time (Dar es Salaam)
WFP celebrates and embraces diversity. It is committed to the principle of equal employment opportunity...
Employment opportunities at the St. Augustine University of Tanzania (June 2025)
The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.