Msaada: Makato katika mshahara na stahili za mwajiriwa.

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Wasalaam.
Dhumuni la bandiko hili ni kutaka kujua makato anayopaswa kukatwa mwajiriwa wa serikali. Lengo ni kujua take home inabaki ngapi baada ya makato stahili.
1. PAYE ni asilimia ngapi?
2. Social security je?
3. Na NHIF ni kiasi gani?
4.Je makato haya yanatofautiana kulingana na ajira?
5. Na je makato yote yanakokotolewa kwenye basic salary au huwa yanakatwa kwenye sum inayobaki baada ya makato mengine?

6.Mwisho,zipi ni stahili ninazopaswa kuzijua za mfanyakazi wa taasisi za serikali ?
 
Back
Top Bottom