Ufafanuzi wa KAZI ya receptionist na service Hotelini

Ufafanuzi wa KAZI ya receptionist na service Hotelini

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Jobless nimepata nafasi ya trainee kujifunza na kupata KAZI Zanzibar

KAZI ni receptionist na service
Wakuu ipi KAZI nzuri kati ya hizo mbili ambazo zina marupurupu.

Degree nimeweka pembeni
 
Jobless nimepata nafasi ya trainee kujifunza na kupata KAZI Zanzibar

KAZI ni receptionist na service
Wakuu ipi KAZI nzuri kati ya hizo mbili ambazo zina marupurupu.

Degree nimeweka pembeni
Service ya nn restaurant au?
 
Panaitwa nungwi
Sasa mkuu hii KAZI malipo mazuri au Bora nikomae na bodaboda tu,,?
Nenda ukapambane, hudumia vizuri wazungu bila kusahau tabasamu hata kama una madeni, waweza jishindia tip za hapa na pale in usd... akili iweke kwenye kutongoza wazungu kwa akili ukimpata mmoja bodaboda utaziona laana...

Nungwi zipo hotel kibao, Nanasi, Mama Mia, Bluetides...
 
Hiyo kazi inaweza ikakukutanisha na potential people , na haina risk Kama bodaboda .

Ukiangalia long run benefits
Na ukiangalia risk

Utaona Hotelin hasa hotel zinazopokea watalii is best na ikiwa lugha inapanda that's good opportunity.
Fresh
 
Hapo ndio tattizo ila sina familia Wala demu.... nishauri mkuuu nisije kupoteza focus
Komaa na boda, mana hiyo kazi yenyew unayoifata huko Nungwi baada ya miezi mitatu ukishaajiriwa unalipwa around 350/400k ila ukipata sehem za upigaji unapiga mpaka 80k kwa siku
 
Jobless nimepata nafasi ya trainee kujifunza na kupata KAZI Zanzibar

KAZI ni receptionist na service
Wakuu ipi KAZI nzuri kati ya hizo mbili ambazo zina marupurupu.

Degree nimeweka pembeni
I’m disappointed to see that someone with a university degree cannot understand that all jobs in the hospitality industry are 100% service-oriented."
 
Mkuu, chukua hiyo ya receptionist mimi niachie ya service tafadhali.
 
Acha ujuaji
Hujuaji gani mtu anaweza kusema kazi ya receptionist na Service??? Receception siyo sehemu ya service siyo? Angeuliza form four wa shule ya kata huko kwetu vijijini nisingeshangaa. Ila kwa mtu wa degree kuhoji hivo na kisha ukaniona mimi mjuaji basi utakuwa na kazi kubwa ya kufanya huko hotelini. Manake kila siku utailipisha hoteli kutokana na malalamiko ya wageni.
 
Back
Top Bottom