Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wanajf, Nina mdogo wangu kahitimu chuo kikuu kada ualimu masomo English na Kiswahili anaishi Dar es Salaam na Tanga Hivyo basi kama kuna mwenye connection ya shule yoyote ya private katika...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi...
1 Reactions
2 Replies
284 Views
Tunatafuta technicians kwa ajili ya fiber splicing kwenye GPON project. Location Dar es salaam. Ikiwa uko tayari DM kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
3 Replies
275 Views
Karibuni wakuu... Niulize Chochote kuhusu kazi za viwandani
7 Reactions
40 Replies
3K Views
For additional information, please, download the attachment.
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Twaweza East Africa is a regional civil society organisation operating in Tanzania, Uganda, and Kenya. Our vision is of an open society built on the human impulse to make a difference, where...
1 Reactions
1 Replies
428 Views
Habari za asubuhi wakuu .. kuna ndugu yangu anatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku 1. Anayo leseni ya udereva 2. Ni mwadilifu pia ni mcheshi 3. Ni mchapa kaz muda wote...
0 Reactions
11 Replies
663 Views
Company deals with alcoholic drinks. Location: Dodoma(5 post) Kahama(3 Post) Mbeya(3 post) Mwanza (3 post) Arusha(2 Post) Key Responsibilities: Identify, approach, and...
1 Reactions
5 Replies
670 Views
Ni mishahara baada ya makato Ubaki DSM mshahara milioni 1.2 Uende Katavi mshahara milioni 2
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Anatafutwa Consultant ambaye atasimamia mchakato wa ajira ya Mkurugenzi. Tangazo hili linarudiwa baada ya kusitisha mchakato wa kwanza. Download document kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Political science Theology Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy Tourism Laws Bachelor of Science in Aquaculture and Aquatic Sciences Logistics and Transport Shipping...
3 Reactions
12 Replies
708 Views
JINSI MTANZANIA ANAWEZA KWENDA KUFANYA KAZI UK KWA NJIA HALALI – HATUA KWA HATUA Na Maleko GJ Watu wengi nchini Tanzania wanatamani kupata kazi nje ya nchi, hasa Uingereza, wakiamini kuwa huko...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta Mhasibu mwenye uwezo wa kutimiza majukumu yafuatayo kwa utimilifu:- Kuandaa taarifa za mauzo na malipo -kufuatilia malipo yaliyofanywa na wateja kwa bidhaa au huduma tulizotoa. Pia...
1 Reactions
5 Replies
528 Views
Wadogo zangu wakike na wakiume. Naomba niwashauri kitu kimoja tu siku ya leo. Kama ukipata kazi nchi za uarabuni basi ni nchi mbili tu ndio bora, salama na mishahara mizuri. DUBAI na QATAR hizi...
33 Reactions
471 Replies
100K Views
Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni...
3 Reactions
10 Replies
478 Views
EMPLOYER: Kilindi District Council APPLICATION TIMELINE: July 23, 2025 – August 5, 2025 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: i. Typing letters, reports, and both ordinary and...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
St. Augustine University of Tanzania: Overview The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) with the...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Job Advertisement for Freelancer Business Executive Overview of the Organization Mwananchi Communications Limited (MCL), a subsidiary of Nation Media Group (NMG), is Tanzania’s largest independent...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Back
Top Bottom