Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI July, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment...
Ukitaka kukopa ni mserereko tu huendi ofisi yoyote wala humpigii simu yoyote ila ngoma ni wakati wa kulipa hasa unapotaka kufanya mabadiliko ya malipo ya mkopo wako, huwezi ng'o!
Benki hebu...
Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS...
TANGAZO KWA WAAJIRI – FURSA ZA AJIRA
Unahitaji wafanyakazi wenye weledi, waaminifu na walio tayari kuanza kazi mara moja?
Joshua – Jobs Agent inakuletea suluhisho rahisi, la haraka na la...
Kama Tangazo Linavyojieleza, Natafuta Binti Wa Kukaa Reception Na Kusikiliza Wateja Kwenye Office Ya Computer & Phone Repair
TAFADHARI SOMA KWA MAKINI MAELEZO YANGU.
VIGEZO:
1. Awe Anajua...
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.
Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae...
MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (NAFASI 2)
CIWAYE TRADING COMPANY Limited ni kampuni inayouhusika na usafirishaji wa mizigo tofauti ndani ya nchi.
CIWAYE TRADING COMPANY Limited inahitaji madereva...
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi ya mpishi ( Chef)
Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro-Moshi
Wasiliana nasi kwa namba 0752808396
Msaada tutani , ninajiandaa na usaili na ualimu very soon wakuu. Hivyo nauliza KWA WALIMU WA business studies. WALIOWAHI KUHUDHURIA ORAL INTERVIEW YA UTUMISHI NI MASWALI GANI MLIKUTANA NAYO...
Habari za saa hizi wana jamvi ,
Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya...
Anatakiwa kijana aliyemaliza chuo ngazi ya degree.
Awe na ujuzi wa kusajiri majina ya biashara na Kampuni,kutoa ushauri wa kibiashara, kufuatilia leseni za Biashara nk.
Akiwa Arusha itapendeza...
The Southern African Development Community (SADC) Secretariat is a cornerstone of regional integration, fostering economic growth, peace, and sustainable development across Southern Africa. With a...
Tentative Start Date:
01/09/2025
Tentative End Date:
17/10/2025
Background
The Market Access Upgrade Programme (MARKUP II) is funded by the European Union (EU) and runs from
2023-2027. With a...
Kwa wale walioomba nafasi mbali mbali za Kazi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mnaarifiwa kuwa kutakuwa na mtihani wa kuandika kwa tarehe tajwa hapo juu. Wale tu watakao faulu wataitwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.