N:B: Mke wa mtu ni sumu, Hakujawahi kuwa na uhaba wa vipigo vizito wala vilainishi,
I feel sad imekuwa sio mara ya kwanza wala mara mbili wake za watu kunifungukia wana matatizo nikidhani ni...
Kutokana na uchovu wa wiki nzima, imenibidi nitenge muda angalau wikiendi hii niende nikashangae viumbe wengine wanavyoishi wakiwa hapa duniani.
Nimeazimia kutembelea mbuga mbili, sasa ili...
Nimekaa Oman kwa zaidi ya miaka 11 bila kurudi Tanzania, nikifanya kazi za ndani. Baadaye nikapata ajira nzuri zaidi kwa bahati nzuri kipato changu kikafika hadi takribani milioni 5 za Kitanzania...
Unaweza kuishi na mwanamke kwa wema sana tena muda mwingine unajitahidi kutoa msaada wa hali na mali, ukiingia utaona anakuchekea chekea na kukuonesha tabasamu la kinafiki, lakini jamii kwa nje...
Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa...
Habari wana jamii,
Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda.
Maisha haya nimeyaanza...
Kwa masikitiko makuu
Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako
Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna...
The day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata...
Mara nyingi maadui zetu wakubwa hawaji na panga na bunduki. Wanakuja na tabasamu, na mikono ya kukumbatia.
Yule unayemwamini hadi unampa siri zako za moyoni ndiye anayeweza kukuchoma kisu...
Jaribu kuwaza tu, umesomesha mchumba chuo, washkaji na ndugu walikukataza..maneno ya mtandaoni na ya wahenga yanayoonya kuwa mchumba hasomeshwi, uliyaona ni upuuzi tu.. ukaweka akili na moyo kwa...
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi...
Wakuu,
Sijui natokaje kwenye hii addiction ila alietengeneza hiki kitu hakika ni fundi na amenikamata na sijui ametumia formula gani. Kila nikitumia hua kuna maswaali najiuliza huyu ametumia...
Habari zenu Wakuu!
Nina jambo ambalo linanitesa kwa muda sasa baada ya kupita kwenye mahusiano ya nyuma ambayo niliyaona kuwa ni kila kitu kwangu. Wakati ule tulikuwa vijana, damu inachemka, na...
Kwema wote umu MMU? nipo free muda huu na nikajikuta nakumbuka mengi yaliyowahu kutokea kwenye maisha yangu... kaka ynagu natafuta ajira anatumia juhudi nyingi kuandika nyuzi katika kuwaamsha...
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo...
Nakutengnezea scenerio jinsi mara zote inavyokuag
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo...