Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza... Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi...
15 Reactions
92 Replies
2K Views
Uzi tayari wakuu!
0 Reactions
6 Replies
142 Views
MREJESHO Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI.. .. ... Leo nawaletea MREJESHO... Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa...
12 Reactions
103 Replies
2K Views
Natumai mumeamka salama wakuu! Wazee juzi Jumapili nipo kwenye pub moja hivi napiga bia na nyama choma kiasi kwaajili ya kumalizia wikiendi yangu vizuri sikutaka kutoka na mwanamke siku hiyo ili...
74 Reactions
238 Replies
24K Views
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana...
55 Reactions
650 Replies
138K Views
Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa...
64 Reactions
312 Replies
13K Views
Kwa mimi nahisi ukiwa na mwanamke mwenye maono itakusaidia kutojisahau kwamba utajikuta kila ukitaka kurudi nyuma mke anakupush kimawazo, changamoto nk huku ukiwazia familia hiyo yote itakufanya...
3 Reactions
6 Replies
188 Views
Mwanaume unayependa kuchepuka na wake wa watu n dhaifu.Kwan umeshindwa kutafuta mke wako ndo ukanyemelee vya watu. Utahudumia familia isiyo yako na mwishowe hawatakutambua.familia itakayo...
2 Reactions
2 Replies
254 Views
Nilicho gundua ndoa nyingi zime kufa mda mrefu sana ila watu wana pretand kama bado wapo pamoja Hii baada ya kuambiwa mwenyekiti wa jumia yetu na mkewe wamegawana vyumba lakn kwa watu wanaonesha...
9 Reactions
35 Replies
555 Views
Kama unazaidi ya miaka 35 na bado unapambana na wanawake wanaotaka pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bando; juwa hauko siriazi na maisha, badilika haraka...
17 Reactions
27 Replies
495 Views
Kuna viashiria gani mwanaume/mwanamke huvionyesha ili ufahamu kuwa anakupenda kwa dhati?
3 Reactions
3 Replies
134 Views
Siku hizi, kuna mjadala mzito kwa vijana: "Kaa nyumbani mpaka ujiweke vizuri kifedha au ondoka mapema ili upambane na maisha?" Wazazi wetu walikuwa wanaheshimu sana mfumo wa mtoto akae nyumbani...
3 Reactions
11 Replies
897 Views
Kusema kuwa sijijui kuwa natengeneza bomu ambalo litakuja kunilipua mwenyewe nitakuwa nadanganya ila maksudi kabisa natengeneza na ipo siku kweli litanilipukia, stori iko hivi Mimi ni mwanaume...
1 Reactions
14 Replies
368 Views
Kadada kametunzwa na kujitunza, kamevutia macho na ukaona anafaa kuwa wa ndani, ukirejea kwenye mihangaiko upate pumziko na mfanye maisha. Ukaoa. Sasa baada ya kukaweka ndani, unategemea...
13 Reactions
36 Replies
718 Views
Nimeona jambo hili kwa baadhi ya wanawake, hasa wale waliotoka kwenye ndoa Zenye changamoto. Mwanamke anapokuwa kwenye ndoa yenye changamoto labda ameumizwa, amepuuzwa, amenyanyaswa au hakupata...
9 Reactions
25 Replies
632 Views
Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Vijana wa sasa wengi wao wanataka familia na hata wale wanajikuta tayari wanafamilia kwa maana Mke na mtoto au watoto lakini maisha anayoishi na hiyo familia yake ni ujinga mwingi Kijana huyu wa...
5 Reactions
8 Replies
224 Views
Huwa nashangaa mibaba mzima na mitumo yao na midevu na Mijimama mzima mijitu mzima ya hovyo. Kwa nyege zako umezaa watoto ambao hawakukutuma uwalete duniani kumbe inakuja kuwatesa tu. Sasa...
14 Reactions
83 Replies
991 Views
Kwa yeyote anayejua ufumbuzi wa changamoto yangu hii aniambie maana naenda kupotea.
6 Reactions
52 Replies
804 Views
Angalia historia za kuvuja kwa connection zote duniani na hapa nchini jamii itamsema vibaya mwanamke badala ya mwanaume. Mwaka 2008 dunia ilishuhudia kichupa kikivuja cha mjuba Ray Jay na Kim...
31 Reactions
107 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…