Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana.
Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni...
Salaaam.
Wakuu mi naona hakuna haja ya kufanya tendo la ndoa kabla hujaoa/kuolewa.
Unakuta mtu yupo na girlfriend au boyfriend wake kwa muda na kwa lengo la kuja kuona ajabu asilimia75%...
Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa...
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..
Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya...
Mi binafsi ule wimbo wa Diamond uitwao Baikoko nikiuweka kabla sijaanza shughuli ni Kama vile unaniamshia mzuka na kunifanya niendelee na game kwa muda mrefu.
Vp nyie wenzangu ni song gan...
Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26
kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana...
Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba.
Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote...
Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo...
A 30-year-old from Dar es Salaam is on the loose and craving some dinner company tonight! After a week of work in your lovely city, he's ready to spice up his evening with good food and even...
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea...
Habari za muda wana JamiiForums
Leo nimeona nije na mada hii tubadilishane mawili matatu juu ya mahusiano.
NB: Nikisema pesa huleta mapenzi simaanishi mabillioni au mamilioni ya pesa.
Binafsi...
Habari Wana jf
Leo nataka niongelee kidogo kitu inaitwa sexy/kujamiiana kwa ufupi Sana,
SEXY ni kitu Cha maana Sana hapa duniani maana bila hiyo kitu leo sisi tusingepiga story apa, inafainda...
JE WAZIJUA SIFA KUMI ZA MKE MWEMA?
1. MKE MWEMA HUJAWA NA HEKIMA.
Wanawake wengi hawajui kuutumia ulimi vizuri – Ukali, maneno ya mikato, matusi, ukaidi n.k. kwao ni mambo ya kawaida. Wengi...
Mwanamke aliye kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 na bado ana vigezo hivi ama mojawapo ya hivi
Dharau
Majibu ya hovyo
Kiburi
Muongo
Mgomvi
mchawi
Infidel
Hakikisha unakimbia, achana naye maana hakuna...
JE UNAJUA??
Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina??
Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya...
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi.
Umri wangu miaka 26
Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4.
Natafuta rafiki wa kike,
Comment vizuri nikufate PM
Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik...
Wakuu habari.
Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo.
Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko...
Habari za weekend,
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja...