juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Mapenzi hayana mjanja,unaweza kuwa mjanja na ukanasa kwenye penzi kwa mtu mlugaluga hadi watu wakakushangaa, au ukanaza na kuzama kwa mtu malaya.
Sasa hii imenitokea mimi.kuna mrembo nimemzimia ni balaa ila ananipa stress sana.kwa sababu tangu tujuane yeye kila siku ifikapo saa 6 usiku nikipiga simu yake inakuwa inatumika. Saa zingine hata saa 8 usiku inatumika, ukiuliza anakwambia anaongea na marafiki zake. Sasa kibaya zaidi siku akilala kwangu simu yake huwa anaizima na anawasha tukishaagana.
Mara nyingi huwa namrudisha kwao na gari yangu asubuhi. Nalazimika kumrudisha na gari yangu kwa sababu anakaa Sinza Lego na mimi nina duka langu pale Sinza kumekucha, so ni kama nampa lifti tu.
Waungwana nifanyeje maana ananipa mawazo sana juu ya hilo jambo.na nimezimika vibaya kwake kiasi kwamba natamani nimpe mimba na yeye ili aniongezee idadi ya watoto.