Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana MMU. Naomba nisimulie yaliyonipata siku ya jana Jumapili. Nina mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano hata miezi minne haijafika. Kiukweli nilipenda haswa mpaka muda huu, naye...
10 Reactions
143 Replies
11K Views
Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu Leo ilikuwa uhakika mademu watatu walijaa kwenye kilengeo Nimeshapaka zangu viksi lotion nimejiboost uhakika Aisha msomali Irene komwe Judi mlaaniwe huko...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu...
37 Reactions
216 Replies
6K Views
Nimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia.. 1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia...
13 Reactions
80 Replies
3K Views
Ukitumia sana Tangawizi, kitunguu swaumu, maboga, Karanga, matunda kama ndizi, avocado, tango na tikiti unaweza kufikia haya mafanikio Kazi kwenu
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa. Moja ya sababu inaweza kuwa ni 😍njia ya kujisikia vizuri...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni...
4 Reactions
80 Replies
3K Views
Ati otikiii🤣🤣👇👇
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu wa baraza, nina swali kwenu, hasa wale wanaoishi na wenza wao au wapenzi. Mwanzoni, penzi likiwa jipya unaweza hata kufanya mapenzi mara mbili kwa siku au kila siku. Ila...
5 Reactions
64 Replies
2K Views
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
7 Reactions
75 Replies
8K Views
Nyinyi wajomba na mashangazi mliopo humu ndani naombeni mitizamo yenu kwenye hii ishu, mke akiwa anataka kufumua rasta zake zinazomuwasha utamfumua kama akikuomba?
3 Reactions
17 Replies
751 Views
Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni? Asilimia kubwa ya wanawake huwa na tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya kuelekea kileleni bado hawajaiona, mara nyingi huwa...
34 Reactions
212 Replies
142K Views
Huwa ina maana gani pale mwanamke anapolinganisha mkono wake na uume wakati wa faragha husuani baada ya tendo? Hebu mje hapa wadadisi na wajuvi wa hivi vijimambo, tuliopo gizani ni wengi na...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee...
17 Reactions
106 Replies
3K Views
Mambo vp marafiki! Hope mko salama. Leo niko hapa kutafuta rafiki mmoja tu wa kike. Mtu ambaye atakuwa tayari kuongea na mimi, kushauriana, kupiga story. Sijawa tayari kuingia kwenye mahusiano...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau... Kwa wale ambao waliomba Mungu awape mwenzi wa maisha...Mungu akawaonesha kupitia ndoto picha ya mwenzi wake iwe wameshakutana tayari au hawajakutana na wakafanikiwa kuoana...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la akina baba walezi nikimaanisha mkeo anakubebea mimba kutoka kwa mchepuko wewe unalea. Ukijaribu kufikiria utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Mathalani, Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu...
12 Reactions
82 Replies
3K Views
Kichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara? Ulitumia Nini hasa kufikia uamuzi wako? Hekima? Busara...
1 Reactions
10 Replies
759 Views
Haiondoi uanaume, siku moja moja, wakati wa kulala, mke akukumbatie wewe, it feels so fantastically good. Kuwa mwanaume sio kuwa ndo ni jiwe, get a hug some day and you will remember this thread...
4 Reactions
17 Replies
852 Views
Back
Top Bottom