Ukweli kuhusu wanawake kuzaa nje ya ndoa

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la akina baba walezi nikimaanisha mkeo anakubebea mimba kutoka kwa mchepuko wewe unalea.

Ukijaribu kufikiria utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni mwendelezo wa yaliyofanywa na Eva kwenye Biblia.

Ukisoma Biblia, Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi. Alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu.

Kwahiyo na wanawake wa Sasa wanafanya vilevile na wanaume pia wanafanya vilevile.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuizi kumekuwa na wimbi kubwa la akina baba walezi nikimaanisha mkeo anakubebea mimba kutoka kwa mchepuko wewe unalea

Ukijalibu kufikilia utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni mwendelezo wa yaliyofanywa na Eva kwenye biblia

Ukisoma biblia Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu

Kwahiyo na wanawake wa Sasa wanafanya vilevileee na wanaume pia wanafanya vilevileee



Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika na hiki unachokisema ??? Au unataka kufurahisha watu na uzushi wako???
 
Mwingine ni wa nani ??? Wakati walikuwa hao tu ebu acha ujinga kujifanya unajua sana mpuuzi wewe
akikujibu nitag. mimi mwenyew ni mzushi ila nmenyoosha mikono hapo, maana ni sawa aseme kuna mchizi mwingine alikula tunda (la eva) kimasihara.
 
akikujibu nitag. mimi mwenyew ni mzushi ila nmenyoosha mikono hapo, maana ni sawa aseme kuna mchizi mwingine alikula tunda (la eva) kimasihara.
Si kaini na abel
Wa kwanza Kaini alikuwa muuaji/muongo...nadhani baba yake anajulikana
Wa pili Abel...alikuwa poa maana ni zao la Adam.
Yesu alisema yule "mwovu aka shetani ambaye alikuwa muuaji na muongo toka mwanzo"...ooh kumbe shetani anafanana kitabia na KAINI.....mmmh
Na nani alimfundisha kaini Kujenga mji aliposepa nyumbani kwa adam (ooh ni baba yake)
Why Mungu alikataza watoto wa Seth wasizaliane ana kizazi cha Kaini????? Nadhani sababu bloodline yake ilikuwa chafu.
Gharika ilifuta hii bloodline....Maana ingeleta shida kubwa duniani.....Imagine bloodline ya Mzee baba iko na sisi duniani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
akikujibu nitag. mimi mwenyew ni mzushi ila nmenyoosha mikono hapo, maana ni sawa aseme kuna mchizi mwingine alikula tunda (la eva) kimasihara.
Kama hajui shetan alifanya tendo na Eva nyoka ni lugha tuu imetumika pia tunda hakukuwa na tunda la katikati Bali mungu aliwaambia wasikutane kimwil mpaka atakapo waruhusu


Ukisoma biblia inasema "baada ya Eva kumshawishi Adam kula tunda na adamu akashawishika baaada ya kula wakajikuta wa tupu(uchi)"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom