Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.
Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha...
Wakuu,
Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa. Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.
Sasa miezi kadhaa naona...
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato;
(I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke
Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia...
1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili...
Mwandishi - Diane Walls.
Wanawake vijana, hii ni kwa ajili yenu.
Mwanamke mmoja alifika dukani akiwa amevalia nguo zinazoonyesha mwili wake vizuri sana. Mwenye duka, akiwa mzee mwenye hekima...
KUNG'ANG'ANIA ASIYE HADHI YAKO SHARTI UKUBALI KUIGIZA NA KUTUMIKISHWA 😔
Sio vibaya kukubali kuwa huyo hamuendani kuliko kujitutumua uonekane ni hadhi yake huku sirini unaumia na kunyanyasika...
Habari...
Wale mlio oa wanawake wanao fanya kazi za shift za usiku tuambieni mnawezaje kulala na mtoto mdogo mpaka asubuhi mama yake anapo kua katika shift ya usiku kazini kwa kuzingatia mtoto...
Mshangazi kanikwida nakunipiga kama mwanae katumia unene wake kama siraha dhidi yangu, kanilalia nikashindwa kuinuka akaanza kunipiga makofi ya mgongo hachagui, nilipojitahidi kuinuka akanizoga...
Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa..
Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne,
ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa...
Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina
Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao...
Unakuta,
Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.
Mashoga zake wanamtembelea...
Mapenzi asilia nini? Ni mahusiano baina ya wapenzi yenye kufuata tamaduni fulani iliyopo kwenye jamii walipo au asili ya jamii wanayotoka wapenzi hao. Mfano, kama wapenzi watachagua kuhusiana...
https://x.com/crazyclipsonly/status/1826962090382561718
Tafrani yazuka kwenye sherehe baada ya Mume kushika maiki na kueleza umma uliokusanyika kusherehekea
(jionee mwenyewe)
Kila mtu kwa itikadi yake naamini Mungu wako anakutetea.
Disclaimer:Ndoa ni muhimu tu kwenye malezi ya watoto,kwamba watoto watakua wakishuhudia malezi namapenzi ya wazazi wote wawili.
Hii mada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.