Kuna Taasisi zina Hali ambayo hairidhishi kwa kweli. Ziko hoi na zinaelekea pabaya. Sababu ndio nataka tuzijadili hapa, ila zinahuzunisha.
1. Taasisi ya ndoa - hii ndio ina hali mbaya sana
2...
Ananiletea sheria za kiwaki ambazo hata kwenye taurati hazipo. Eti kabla ya kufanya mapenzi ni lazima tukakate/ akakate kibali kutoka kwa Mchungaji wake ambacho kitakuwa na muda wa kuanza na...
nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha...
Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine
Sasa basi mimi na mke wangu tuna...
Mama yangu alichagua kutoolewa na baba yangu. Alimsihi, lakini alikuwa amependa mtu mwingine. Alijaribu kuwa sehemu ya maisha yangu nilipokuwa mdogo, lakini baada ya hapo, kimsingi alitoweka...
Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume huwa anabalehe kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40.
Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16...
Habari wakuu
Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi (...
Hello how are you all!!!!!
Leo nimekumbuka hiki kisa.
Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku.
Baba...
Habari wadau.
Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi .
Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo.
Nikifika...
miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika..
kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na...
Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share.
Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya...
Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na...
UTANGULIZI
MUHIMU: Kisa hiki ni cha kweli sio hadithi ya kusimuliwa wala kufikirika na nitakiandika kama ninvyokikumbuka. Kisa nitakiandika kwa ufupi na kukigawa iwe rahisi kusomeka.
ANGALIZO...
Hata kabla sijatangaza kuwa naoa, nilikuwa na hofu kuhusu Ma X zangu wawili, nilijua kutokana na Ukaribu wa familia zetu lazima habari zingewafikia na lazima wangekuwepo siku ya Harusi yangu...
Ma-Single Mother/Single Father
Duniani kuna watu wanaokadiriwa bilion 8+
Kwa idadi hiyo ni serious umeshindwa kumshawishi mmoja tu akupende?
Aaaaaah alooo!
Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au?
mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena?
sasa mtapita wapi na mimi
"eti, Tsup ma, how ya doin'
baby send me your photo
ma...
Nipo na Mubaba wangu
Mubaba kweli kweli
Tuko simba day hapa nimesalimu amri, kwa machine ya jana amenifunga goli kizembe sana nikamwambia sawa Mubaba wangu, kesho unanislimisha simba ila me...
Hivi ndivyo ilivyokuwa: Nilikutana na huyu dada na nikamtongoza kwa sababu niliona anafanya kazi katika duka la mzee fulani. Hapo awali, sikujua kama mzee huyo alikuwa mume wake, nilidhani labda...
Habarini za mchana wapwa?
Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa...
MJUMBE HAUWAWI.
Nimepitia comment kwenye hii post.
Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii.
Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni?
Nikaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.