Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalam, Mla Bata nimeukataa ukware, madunga embe sasa mimi basi, mwajuma, sikujua, waseme, zubeda, tumaini, Mimi na nyie baaaasi, natafuta jiko NIOE wakuu na jiwe langu nataka kulirusha nchini...
2 Reactions
8 Replies
985 Views
Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka...
29 Reactions
88 Replies
5K Views
Wakuu kuna condom ina utamu zaidi ya rough rider?
15 Reactions
128 Replies
9K Views
Habari za wakati huu wadau na wana familia wote..... Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho...
10 Reactions
159 Replies
4K Views
Salaam wana MMU Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi. Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Unaweza kudhani ni jambo la mzaha au kuchekesha lakini ukweli ni kwamba tarehe 7 mwezi wa 8, 2024 Shemeji yenu ameondoka nyumbani na kuvunja mji kisa anasema amechoka na tabia yangu ya kukoroma...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Nini Maana ya Uchumba? Uchumba ni kile kipindi cha Maandalizi ya kufungwa kwa ndoa. Maandalizi haya huhusisha utoaji wa mahari na uandaaji wa sherehe ya harusi (kama itakuwepo). Ikumbukwe kuwa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania. Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi. Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini...
34 Reactions
732 Replies
15K Views
Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani. Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo...
21 Reactions
87 Replies
5K Views
Wakuu mko salama? Declaration: Sitetei wala ku-support masuala ya ukatili kwa namna yoyote ile Sasa twende kwenye mada husika, kuna jambo limenishangaza kiasi kwenye kesi hii inayoendelea...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
naitaji demu age 17 to 19 tall kidodo mweupe ani call in 0689459195 hii ni kweli na sitaki utani
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nenda kaangalie avatar ya Cheusi mangala, kama una sifa zinazofanana na hiyo avatar nitafute kwenye facebook. Isaac Emanuel Qaymo. Usiwe mwanafunzi wa primary au secondary, nisije nikaozea...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF nisaidieni. Mara nyingi nimesikia maneno haya GELFRENDI NA BOIFRENDI (girlfriend na boyfriend) katika mahusiano. Najiuliza maswali haya, - Hawa ni akina nani? - Umuhimu wao ni nini?
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu... After ushauri wenu nimewasiliana na ex-mamsapu wangu,and i must say her response was encouraging...in simple terms,she was happy to hear from me,we talk for 3hours!!!.....yes,i...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
What is love all about? A bond of trust but a little doubt? An enraged eye still a healing touch? A broad smile yet a pain so much? Is it a sunshine peeping out of cloud? Or a drop of silence...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Using A Sex Education Video -------------------------------------------------------------------------------- The use of a sex education video is a tremendous asset when it comes to...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Salaam nakutolea sababu,u-moyoni mwangu. U-Mbali na upeo wangu,ndani ya moyo wangu. Haupo machoni mwangu,unaishi moyoni mwangu. Salaam ewe wangu,mbali,karibu na moyo wangu.
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom