Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Male Chef killed and cooked boyfriend - 10/20/2008 A chef has been found guilty of murdering his boyfriend in a frenzied knife attack before cooking pieces of his thigh and chewing them...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Simple Friends and Real Friends Anyone can stand by you when you are right, but a Friend will stand by you even when you are wrong. A simple friend identifies himself when he calls. A real...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada. Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Mwanamke hung'aa kama mmea wakati mahitaji yake ya kimwili yanatimizwa na mwanamume halisi. Muunganisho huu humlisha, na kumruhusu kusitawi kwa uchangamfu na nishati inayoonyesha maelewano na...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko...
28 Reactions
141 Replies
11K Views
Wakuu Wasalaam, Leo nimekuja tupeane uzoefu na ushauri. Nina bwana mdogo naishi naye. Ana miaka 18 kwenda 19 ni wa kiume. Huyu alikuwa mtoto wa jirani yangu kijijini nilipokulia. Ule ujirani wa...
15 Reactions
175 Replies
17K Views
Mimi najuta kwanini nilioa mapema. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Iko hivi mimi nina mke wangu, sasa anarudi kati ya siku hizi mbili toka huko Uarabuni, alikuwa anafanya kazi. Sasa kilichonileta ni kwamba yeye anakuja na tumekuwa hatujaonana kwa miaka miwili...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Kila nikitazama hii video hapa chini inanitoa machozi, nawaza ipi ni future ya watoto na dada zetu kesho kama imefikia stage in Tanzania. Mdada anavalishwa pete na msagaji tena kwa wazi kama hivi...
3 Reactions
274 Replies
62K Views
Tukisema tumieni condom muwe mnaelewa basi. Uzi kwisha!
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Aug 26th, 024 Dar es Salaam, Tanzania Saa 5:27 asubuhi ------------------------------- Habarini madada, makaka, na wazee wenzangu! Leo nivunje ukimya niongelee suala nyeti kidogo. Umewahi...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Katikati ya mwaka 2015, Juma alikuwa amehamia Singida kwa ajili ya kazi yake. Alimuacha mkewe Iringa alipokua akifanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya wazungu. Baada ya mwaka Moja kupitia juma...
1 Reactions
2 Replies
652 Views
Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na...
2 Reactions
9 Replies
934 Views
Habari zenu members wote was jamiiforum pia poleni na mahangaiko Mimi nina swali hasa kwa wadada kuhusu wanavyojisikia wanapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui Ila ndio hivyo...
13 Reactions
189 Replies
6K Views
Habari, hivi kisheria ukimkamata mtu katembea na mke au mume wako anashughulikiwaje?
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mnaopenda mishangazi, Kuna bwana abatoka na lishangazi fulani,kumbe miaka miwili iliyopita aliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti wa hilo lishangazi,na hawakuachana kwa ubaya, Bado ni marafiki,.
3 Reactions
15 Replies
644 Views
Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile. Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo. Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile. Sasa...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
hadi naandika hoja hii, kuna kundi kubwa mno la waliowahi kua kwenye mahusiano, uchumba na ndoa, lakini wanasoma ujumbe huu mahususi wa urejesho sasa, wakiwa wamasambaratika si wamoja tena na...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
16 Reactions
242 Replies
8K Views
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu. Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana...
19 Reactions
108 Replies
9K Views
Back
Top Bottom