Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani...
13 Reactions
57 Replies
3K Views
Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida. Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu...
7 Reactions
98 Replies
3K Views
Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote. Kilichonileta...
8 Reactions
79 Replies
4K Views
Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna site hii kwa wale wenye upweke au wanaohitaji "faraja" ya nyumba ndogo kwa Kenya gonga hapo chini Home - Mpango wa Kando! nasikia huduma hii ipo Bongo pia wenye site please? Welcome, this...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanajamii naomba kuweka hii mada hapa ambayo maamuma alikuwa ameipost katika thread ya "The Remainder....) Nadhani inastahili kuwa thread mpya kwa heshma na taadhima naomba niiweke hapa kwa niaba...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Naongea na wewe kaka tuliyekutana Katoro enzi za usichana wangu! Mbona ghafla sana? (GaFRA mno). Nakujua vema ndani na nje, na tulipokutana ukaniahidi utaenda CHINA kupasuliwa kojoleo ili...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwali ni msichana ambae hajaguswa Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi Huyo ndio mwali wa kike Mwali wa kiume ni nani? Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa Hata ukimwuliza gololi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa watoto ukitaka kufilisika jifanye umependa utapewa majukumu hadi ya wazazi wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna madem wenye njaa kali na wasanii kama...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri. Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo. Changamoto nyingine zinaweza...
9 Reactions
196 Replies
4K Views
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako. Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁 Wanangu wa kataa ndoa back up yenu...
20 Reactions
190 Replies
7K Views
If you turn around I'll plant a tender kiss on you that will remain true right out of the blue just to say, I was thinking about you! mwah! A kiss from a son to his mother, The one that is not...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
u may check me through this email ..junefifteen15@gmail.com
2 Reactions
2 Replies
984 Views
Scientists have discovered that people can have a love that lasts a lifetime. Using brain scans, researchers at Stony Brook University in New York have discovered a small number of couples respond...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Za leo wa ndugu, naomba kuuliza je ni fanye nini na tabia ya mume wangu kuhusu simu(mobile phone) Kwa kweli ni jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana. My hubby anatabia ya kutopokea...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Polygamy Is the Key to a Long Life – So Says New Research News Report from (NewScientist and newsru) New research shows that polygamists live on average seven years longer. Ecologist Virpi...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Scientist reveals what men REALLY think of when they look at a girlie calendar By Fiona Macrae Last updated at 5:37 PM on 17th February 2009 Sexy calendars and pictures of topless models in...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom