Peace be with you all,
Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii...
Habari wakuu,
Wanasema siku za mwizi ni arobaini, wee endelea tu! wanawake mnajidhalilisha sana mmekua kupe kwa waume za watu, hv kama wewe ni mzuri sana au unajua sana mahaba si ungeolewa? Yote...
Twende "direct" kwenye mada.
Chekini haya mateso ya ndoa.
Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo.
Hebu chekini hizi comments.
Acheni kuoa MTAKUFA.
#YNWA
YANGA_BINGWA
Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana.
Yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona...
Nyumba Ntobhu maana yake ni "nyumba bila mwanamume" ni aina ya muungano wa jadi usio wa mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa wanawake wa kabila la wajaluo Mkoani Mara - ushirikiano huundwa kati...
Habari wakuu na moja kwa moja niende kwenye mada kwa mwanaume yoyote ambae ndo anaanza kushiriki tendo kwa mara ya kwanza ni lazima apitie fedhea hii.
Pindi anapo aanza kudumbukiza gogo kweny...
Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia.
Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza...
Anaweza jiuza...
Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka.
Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke...
Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui...
Bila shaka mtakubaliana na mimi kuwa hali ya hewa kuanzia mwezi wa Mei hadi huu Julai ni muafaka kwa watu kujamiiana na hivyo kuifanya miezi hiyo kuwa kama ndio breading season, especially kwa...
Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?
Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
Kwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu...
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye...
Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo...
Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao.
Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo...
ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo?
je,
ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa...
Huyu demu wangu ni mkimnya sana na muda mwingi hana time na mimi yupo busy na huyo kaka yake , wanaongea kimahaba sometime wakipigiana simu na wanajizima data kweli kweli
Pia ;:-
Sina uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.