Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumai wapo wajuzi ambao wanaelimu ya kuweza kutueleza kuwa ukiona hivi au vile basi uelewe kuwa bado mwanamama ni mwari na hajaguswa kabisa na anaendeleza heshima yake, na kuna wengine ukiwaona...
0 Reactions
57 Replies
27K Views
Kwanini kuna baadhi ya wanaume hupenda kutoa bikra (siyo ya kichina) kwa wanawake/mabinti wakati siku ya hiyo shughuli huwa na usumbufu na kelele za maumivu wakati wa mchakato? Je ni kweli...
4 Reactions
61 Replies
69K Views
Ebana mwaka 2023 mwez wa9 mwanzoni nilikutana na huyu single maza tukakubaliana kutimiziana haja zetu bila mkataba kwani tulitafutana mara tu tulipokuwa tunahitajiana. Sasa mwez wa9 mwishoni 2023...
18 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwaka 2018 nilimuelewaga binti enzi hizo yeye ana miaka 25 mimi nna miaka 30, na mda huo nlikuwa nishajipata kujenga tayari kazi nzuri nnayo na biashara zangu so kuowa haikunipa shida Binti...
19 Reactions
51 Replies
3K Views
Wazee wa zamani walikuwa wakitoka safari ya siku nyingi walikuwa Hawa fikii nyumbani hapana wanafikia vilabuniii Kisha Wana mtuma Mtoto apeleke begi nyumbani ili mke ajue mumewe kafika Kusudi...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Halafu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada kuomba Mungu na kuombewa uondokane na hiyo Roho ya maringo, kiburi, hasira na dharau, eti unataka uombewe upate mume. Mume gani atakuoa ukiwa mbishi...
22 Reactions
95 Replies
3K Views
Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale. Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko. Msingi...
16 Reactions
146 Replies
4K Views
Wana wa Tanzania amani iwe kwenu. Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje? Me...
21 Reactions
369 Replies
14K Views
Kwanza mimi ni mzee wa 51. Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke anaomba maji...
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Katika harakati za ujana chuoni, kuna manzi nilikuwa namkubali balaa, nilikuwa najua ndio nitamuoa kabisa baada ya kutendwa na wa kwanza Basi nilimuhudumia sana yule Demu kwa dhati kabisa. Basi...
5 Reactions
184 Replies
23K Views
Tulimaliza Form four 2009 Hatuna mawasiliano yoyote baada ya shule Shuleni hatukuwa marafiki kivile Sasa mambo yamebadilika, tumekuwa wazazi, tuna majukumu mengine Mijadala ya magroup haya ni...
38 Reactions
73 Replies
4K Views
Waungwana salama, Yaani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena. Unahangaika...
64 Reactions
764 Replies
37K Views
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD). Karibuni
9 Reactions
85 Replies
5K Views
"Akina mama wa Kidamba yaani Wandamba wa Malinyi Morogoro hii ni asili yenu au huyu mama mkwe wangu ana lake jambo. Iko hivi nimeoa kwa ndoa sasa mwaka wa pili ndani mke wangu tunaheshimiana sana...
25 Reactions
111 Replies
10K Views
Ni binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kifupi tu. Raia wengi wananitolea mijicho kama nmekula chao. Huyu dada alikuwa mke wa jamaa yangu sana. Jamaa tulisoma naye sekondari. Mwaka juzi jamaa akavuta mkoani knjaro.ila wakati afya yake...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni mwanamume mjinga na mpumbavu tu ndiye anayemsamehe mwanamke msaliti. Tuangazie sababu 12 kwa nini usimsamehe huyo malaya msaliti. 1. Alitongozwa, akakubali, wakapanga siku, wakakutana...
63 Reactions
172 Replies
14K Views
Kila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni...
0 Reactions
17 Replies
850 Views
Throwback Zamani
31 Reactions
345 Replies
17K Views
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe...
83 Reactions
156 Replies
12K Views
Back
Top Bottom