First part ( 1) ****
I'm a church boy if you ask, you know what is funny about it all,
Ladies have taken their allegations to the next level, calling nice guys simp, but are they?
Hey kuna this...
Ni mwanamke wangu tuliependana sana tukiwa chuo. She was extremely beautiful. Ila alikuwa anajisikia sana. She got a very big ego. Alinizingua sana tukiwa chuo nikaachana nae tukaja kukutana miaka...
Katika Harakati za Kila siku basi mdachu 🤣maeneo fulani dodoma mara Rafiki angu wa kike ambae hatukua na mazoea sana akapiga simu gari yake "24.O Harrier" Tako la nyani imekamwa njiani ameishiwa...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi.
Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo...
Heshima kwenu wadau MMU
Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike.
Usemi huu ni wakawaida...
Aseeh wakuu wanajf people's powers lakini pia kazi iendelee!
Katika Harakati za Kila siku bhana nikaamua kuwa navaa kawaida na nguo za bei cheeeh! "ilikuja haswa Baada ya kuwa navaa smart sana...
Kwa mwanamke yupo radhi aolewe na mtu mwenye gari aliyepanga kuliko asiye na gari mwenye nyumba yake kabisa.
Mwenye gari anaeleweka sana na haraka sana kuliko mwenye nyumba.
Sijui gari mtu...
Habari za usiku huu wakuu, kuna mwanamke nimeishinae kwa muda wa miaka miwili, kutokana na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi amebadilika sana, kinachonifanya nishindwe kufanya maamuzi nimemzoea...
UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30)
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli...
Be warned, This post is strictly for God's Believers. If you'll find it useless, you're strongly advised not to provoke or outrage targeted Audiences.
Natumaini nyote mko salama, and so do I...
hivi hii habari ya baadhi ya wazazi wa kiume
kutembea na mabinti zao ikoje?
hivi ni kweli siku hizi imeenea sana au
ni hisia tu....
maaana siku hizi kila mahali unasikia habar hizo....
nini...
Mahusiano mazuri ya kimapenzi ni yale ambayo wote wawili kwa maana ya mwanamke na mwanaume mpo mkoa mmoja hivyo ni rahisi kuonana.
Pindi mmoja wenu anapokua mkoa mwingine mfano wewe mwanaume upo...
Nimei copy X
Leo nimeshuhudia fedheha.
Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo...
Habari wana MMU,
Poleni na majukumu ya kila siku, Ipo hivi mimi ni kijana 24 yrs old. Nimelala nimefanya mapenzi na wanawake wengi sana niliowazidi umri, walionizidi umri, agemates. Sikuishia...
Habari zenu MMU,
Mimi ni kijana mwenzenu leo acha nifunguke nipate msaada wa mawazo.
Mimi nilianza nyeto mwaka 2014 baada ya kufundishwa na mtoto wa jirani yetu. Tokea hapo nimepiga nyeto sana...
Inawezekana umekua naye kwa miaka/ miezi kadhaa au ndio kwanza unamtongoza mwanamke, na mwanamke anaonesha amekukubali. Mpo pamoja lakini baada ya muda unaona anaanza kujiweka mbali nawe...
Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile?
Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke...
Kwanini wanawake hasa walio kwenye mahusiano hawapendi kuambiwa ukweli?
Ni rahisi sana mwanamke kukuamini pindi unapomdanganya kuliko kumuambia ukweli.
Mwanamke anaweza kukuvulia nguo kirahisi...
Nipeni range ya kutoa posa na mahali huwa vinachukua muda gani wapendwa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ukitoa posa unakaa muda gani ndio utoe na mahari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.