Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida. Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya...
55 Reactions
839 Replies
40K Views
Je, kwa nini wasichana wa siku hizi wamekuwa wavivu sana kunyoa nywele za sehemu zao za siri? Tatizo liko wapi wakuu? Au nyembe bei ghari? Kwa sababu Kati ya wanawake 10 niliowala tangu mwezi wa...
8 Reactions
61 Replies
8K Views
Siku hizi si jambo geni tena au la kushangaza kwa sisi Wanaume wengi ambao huwa tunaenda ' Kubanduana ' na Wapenzi wetu kukuta wakiwa hawajanyoa kabisa ' Nywele ' zao za Sirini / Makao Makuu yao...
9 Reactions
182 Replies
25K Views
Wajameni habari zenu? Kuna suala linanitatiza sana kuhusu tabia ya hawa dada zetu wanaokua single muda mrefu bila kuwa na wanaume, mostly hawapendi kabisa kunyoa nywele za sehemu zao za siri...
4 Reactions
68 Replies
15K Views
Mwanaume "mwenye kila kitu" kuna mtihani kidogo kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Wanawake wengi mapenzi kwa vitendo ni feeling experession na availability yake kwako, mbali na hayo basi ni...
6 Reactions
7 Replies
710 Views
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula. Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda. Kwa...
54 Reactions
135 Replies
11K Views
Jumapili Moja mida ya jioni nipo zangu home sielewi,’mwanangu’ mmoja akanicheki “oyaa Satoh upo wapi now?” Nikamjibu nipo home nimechill nacheki game ya Simba. Hiyo siku ilikuwa Simba inacheza na...
11 Reactions
92 Replies
4K Views
kunaye mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni...
23 Reactions
145 Replies
7K Views
Leo, nitawasimulia hadithi ambayo hamkuwahi kuhadithia. Kama ilikuwa ni siri basi nimeshindwa kuitunza🙏. ************************************ Kumi na moja jioni majira, ilionekana...
2 Reactions
0 Replies
300 Views
Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa. 1...
34 Reactions
109 Replies
4K Views
Haya mtu akiizika hiyo maiti atanufaika na nini? Au kuna faida za kishirikina anazitafuta? Maiti ya kazi gani? Ni upendo ama mnatafuta uhalali wa kurithi mali za marehemu? Mzazi atakayemlea...
1 Reactions
6 Replies
478 Views
Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda. Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini. Kabla sijaoa nilipanga 1. Nilipanga...
21 Reactions
109 Replies
4K Views
Ukijua mpenzi wako anatoa harufu kali na mbaya ukeni kwake ila unampenda, utatumia akili gani kubwa kumwambia ili akuelewe na asiumie ili ajirekebishe? Huku Zanzibar ninapoishi na yalipo makazi...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Huyu Binti ni mrembo, ana asili ya uarabu. Nilimpata ugenini mkoani nilipoenda kwa ajili ya mambo yangu. Binti anafanya kazi office flani hapo mjini. Niliuliza wenyeji pindi nilipojiridhisha...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (MGTOW )ni jamii ya mtandaoni yenye msimamo dhidi ya wanawake na yenye mtazamo wa chuki dhidi ya wanawake, ikihamasisha wanaume kujitenga na wanawake na jamii...
2 Reactions
6 Replies
656 Views
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
61 Reactions
356 Replies
11K Views
Kabla ya kuanza kuwalaumu wenzanko jiulize vyema wewe pia ni mtu wa aina gani , Je, wewe ni mtu wa aina gani unapo oneshwa upendo na wewe ni mtu wa aina gani unapo oneshwa chuki Kabla ya kuanza...
7 Reactions
4 Replies
543 Views
Nilikutana nae kwenye semina fulani mjini, tukiwa tumeketi sambamba kwenye chumba cha semina na hatukua tuna fahamiana kabla. Maudhui ya semina husika yalianza kufanya tuanze kuzungumza, kulizana...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi) 2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano) 3. Asiekua na hofu ya Mungu 4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye...
38 Reactions
245 Replies
10K Views
NANI UNAMSHIRIKISHA? MTIHANI WA KWANZA UNAOTAKIWA KUUSHINDA KABLA HUJAANZA KUSHIRIKISHA WATU. Mpaka leo kuna watu wamekata tamaa sio kwamba mambo ni magumu bali ni ugumu uliozidishwa na walio...
1 Reactions
13 Replies
530 Views
Back
Top Bottom