Huyu mshikaji wangu wa pili ana oa mtoto wa kibopa. Yani pisi ya kawaida sana to the point tunajua amefata life completion na connection.
Wakwanza alioa pisi moja ni zaidi ya kawaida ila sherehe...
Kuna ujinga unakuta mtu anasema naoa au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye.
Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu...
Umaskini haufai, na kama ukiwa maskini ukaishi kwa misemo kama hii, ni ishara kuwa umeamua kuukubali, na kwa hakika utateseka.
Hakuna cha kusema “maisha ndiyo haya haya tu” - kuna mazuri zaidi ya...
Binafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007
Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu
wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
Kuna vitu vinachosha sana.
Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri),
Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke.
Sasa kwani wanaume ndo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.
Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada...
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii...
Hello wakuu Kuna Uzi niliandika hapa JINSI YA KUMUACHA MWANAMKE ALIYEKUGANDA.
Sasa kumbe huyu manzi muongo age ishamtupa mkono aliniambia ana miaka 28 wakati mm nina 24 nikaona isiwe kesi...
Yaani jamani unakuta umeolewa na mume, ana mapungufu kibao, kwanza kibamia halitoshi single goal tena goal lenyewe la kuku lakini kutwa anachepuka unaona ni jinsi gani anajidhalilisha kwa kutoa...
Wakuu poleni na majukumu.
Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa...
Nilipo ingia chuoni kwa Mara ya kwanza nilukutana na mrembo mmoja mwenye asili ya kiarabu, mwenye rangi nzuri ambayo haina hata chembe ya kitu kinaitwa cream,
Sikutaka kukaa kimya na hisia zangu...
Niende kwenye mada!
Ni kitambo sasa sijaleta muendelezo kuhusu Mercy, siyo kwamba kaacha kunifatilia hapana bado na saivi sielewi nafanya nini ila nitashinda (tutashinda mimi na Mage)
Mambo...
Mhadhara - 46:
Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu".
Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu...
I will never get married, not even in a Dream - 50 Cent
“Women are never with you 100%, 90% of them are with you because of what they stand to gain reasons I will never get married.
Here before...
Kaka zangu chukueni hii....
Unapozama kwenye himaya ya mwanamke, ukiibuka pale lazima kuna kitu unaondoka nacho.
Waweza kuchukua baraka au mikosi na nuksi kwa huyo mwanamke.
Kuna mwanamke...
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?
Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia...
"Kumuandaa mwanamke (mke) sio kumjaza mate masikioni na shingoni"
Nimeona mahali fulani.
Wataalamu mwageni nondo zenu kiuchambuzi.
NB: Nchi yetu itafikia tu kuwa kama bustani ya Eden.
MTENDWA wa usaliti hupata maumivu makali, wakati huohuo mwanzoni msaliti hukenua kwa kudhani ameshinda. Maisha hayapo hivyo!
Anayesalitiwa humwaga machozi kwa kilio cha mahangaiko ya moyo...
Kwema wakuu.
Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mwanamke nimekutana nae mara mbili hivi karibuni sasa juzi hapaa nimemwambia irudiwe tena akanijibu kuwa show zangu kali ukizingatia mara zote...
2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.