Ningeli jua anamimba nisingeli jiweka kwake

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
2,230
2,000
Nilipo ingia chuoni kwa Mara ya kwanza nilukutana na mrembo mmoja mwenye asili ya kiarabu, mwenye rangi nzuri ambayo haina hata chembe ya kitu kinaitwa cream,

Sikutaka kukaa kimya na hisia zangu maana chuoni kuna watu wengi na wengi wanamtamani Yule kisura wangu. Nikaamua kumfungukia jinsi gani nimezimika kwake, alikubali kuwa nami ila akawa analalamika kuumwa karibu kila siku na haji chuoni kuudhuria vipindi, aliendelea hivyo hvyo mpaka siku moja nilipo mbana aniambie ukweli anatatizo gani ndipo alipo nambia ana mimba ya mwezi mmoja . Ambayo bila shaka ametoka nayo huko aliko toka .

Najiuliza kwanini alikubali kuwa na mimi na akijua ana mimba ya mtu mwingine ??

Lipi lilikuwa lengo lake haswaaa???

Ningeli jua hili kuwa nimjauzito wala nisinge zama kwenye penzi lake .
 
Namge

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,231

Ukipenda boga....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom