Kwanini watu wanaochukia ndoa wanaongezeka kila kukicha, sisi tunaoendelea kuoa ni fala au?

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
9,657
33,672
I will never get married, not even in a Dream - 50 Cent

“Women are never with you 100%, 90% of them are with you because of what they stand to gain reasons I will never get married.

Here before I kiss you, I even sign a form to show that you accepted it cus I don’t want stories tomorrow.

How many women have you seen make men great?

Many women even think a man without cash does not have a right to get horny.

I’ll have my kids, take care of them and move.
 

Attachments

  • Screenshot_20241020-084817_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20241020-084817_WhatsApp.jpg
    41.7 KB · Views: 3
Kila binadam sahivi anapigania kuwa huru!
Uhuru wa kiuchumi
Uhuru wa kimahusiano
Uhuru wa kufanya chochote kile

Ndoa ni jela tena kwa mwanaume na mwanamke. Kuishi pamoja kunahitaji moyo wa kipekee sana.. hasa uvumilivu na kuwajibika.

Kina sababu nyingi zinachangia kwa watu katika zama hizi kushindwa kuishi pamoja kama mme na mke.

Sio mme na mke tu hata wazazi na watoto bado ni changamoto..fikiria mtoto anatka kuishi maisha huru akiwa nje ya himaya ya wazazi. Leo vipi kuhusu ndoa?

Wanawake wamekuwa wakiingia kwenye mahusiano kwa masilahi yao binafsi na sio upendo.. wengine kupata watoto basi mwingine achine pesa basi.


Miaka inavyozidi kwenda taraka zitaongezeka sana.. na ndio utakuwa mfumo wa maisha. Ndoa za mikataba nazo zitashika kasi.

Maisha yanavyobadilika tukubaliane na ndoa ni sehemu ya maisha hivyo mfumo wake unabadilika pia.

Hongera wa watakao endelea kuishi pamoja kama mme namke hadi siku zao za maisha yao yote.

Lakini hongera pia watako ishia njiani wasijione wamekosea sana chamsingi muachane kwa amani bila kuleta maafa baina yenu.


Siku za mwisho upendo utapungua watu hawatawapenda wa kwao. Pesa itapendwa kuliko kitu chochote. Jumapili njema!
 
Tatizo black Americans na waafrika wengi ulaya walipaparika sana kuoa wazungu,mwisho wa siku ni kupigwa matukio na kufilisiwa.

Kataa ndoa wa bongo wengi walikurupuka kuoa tako na muonekano wa nje huku tabia akijipa moyo watarekebishana ndoani
 
Tatizo black Americans na waafrika wengi ulaya walipaparika sana kuoa wazungu,mwisho wa siku ni kupigwa matukio na kufilisiwa.

Kataa ndoa wa bongo wengi walikurupuka kuoa tako na muonekano wa nje huku tabia akijipa moyo watarekebishana ndoani
Kuna mzee mmoja alishawahi niambia kabla ya kuoa kwanza mchunguze mama yake na binti anaishi vipi na mume wake , yani alikua anasema kwa kifupi kabla ya kumwoa binti muoe kwanza mama yake🤔🤔🤔🤔🤔
 
Zamani, wanawake katika jamii nyingi walihitaji ndoa ili:
1. Wapate ulinzi wa mwanaume
2. Wapate watoto toka kwa mwanaume
3. Wapate mahitaji 3 muhimu toka kwa wanaume
4. Kutimiza wajibu wa kidini.

Leo hii, pesa inafanya hayo yote bila kumuhitaji mwanaume. So, mwanamke akiwa na fedha tu, basi.

Na pia tumegundua dini na mambo ya mungu zilikuwa fiksi tu za mababu wa enzi hizo.
Kimsingi, mwanamke akikuheshimu ndani ya ndoa enzi hizi, ni aidha hana options, au basi tu kajitolea kukupenda.
 
Mungu hakuwa mpumbavu kuweka demarcation ya responsibilities kati ya mwanaume na mwanamke.

Mume akifanya majukumu yake, na mke akifanya majukumu yake, hakika ndoa inakuwa tamu sana kwa wote wawili.

Huu muingiliano wa majukumu kwenye ndoa siku hizi ndio unafanya ndoa zionekane hazina thamani tena.

Kwa sababu kama mume anaona anaweza kufanya majukumu ya mke, na mke anaweza kuhandle majukumu ya mume, so whats the point of marriage?
 
Kwahiyo we unafanya kitu kwa kuangalia wengine wanafanyaje ama
Usipooa utaishia kwenye umalaya na uzinzi tu unless uniambie wewe ni TOWASHI! Ndoa zipo na watu wanaoa na zinadumu for years mpaka kifo kimchukue mmoja wao. Neno la Mungu linasema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE. Ni heri kuoa kuliko kuwaka tamaa.
 
Mungu hakuwa mpumbavu kuweka demarcation ya responsibilities kati ya mwanaume na mwanamke.

Mume akifanya majukumu yake, na mke akifanya majukumu yake, hakika ndoa inakuwa tamu sana kwa wote wawili.

Huu muingiliano wa majukumu kwenye ndoa siku hizi ndio unafanya ndoa zionekane hazina thamani tena.

Kwa sababu kama mume anaona anaweza kufanya majukumu ya mke, na mke anaweza kuhandle majukumu ya mume, so whats the point of marriage?
The problem of these days people are no longer fearing of The God Almighty. Marriage is a must according to God. Ndo maana Mungu aliwaumba mtu mme na mtu mke( Adamu na Hawa)Hiyo ndo ilikuwa ndoa ya kwanza duniani na Mungu akaibarikia. Usipooa au kuolewa unafanya kinyume cha mapenzi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom