Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tumeozesha majuzi tu Sasa leo tunamwuliza bwana Harusi vipi honeymoon umeserereka mpaka mwisho? Ila jamaa hana furaha kabisa Ametutumia picha hii TikTok - Make Your Day
17 Reactions
136 Replies
6K Views
Natafuta sugar mummy, nita-mdrive every where she wants na nita-do everything she need kwenye swala la LOVE niachie. Mimi mimi ni mrefu kiasi, mnene kidigo, ninacheza basketball, naish Kigamboni...
6 Reactions
21 Replies
9K Views
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana. Saikolojia yangu...
23 Reactions
409 Replies
37K Views
Habari wana JF,ipo hivi Kuna binti mgeni hapa mtaani kwetu, aliletwa familia moja awasaidie kazi za ndani. Si mnajua Tena akija mwanamke mpya lazima wanaume waanze process za kumunyatia. kifupi...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Habar ndugu zangu. Awa wanawake sijiu wanakuwa na shida gani.Yaani kuna muda hata huwezi elewa anataka nini kwako,ili mapenz yadumu. Anyway nimeachwa kisa anasema huwa simtafuti mara kwa mara...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE Anaandika Robert Heriel. Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu...
108 Reactions
367 Replies
38K Views
Wakuu, Huyu mama ni tukio lililotokea Dec 27, mkoani Arusha ambapo mama huhu akiwa mjamzito alichezea kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mume wake, na baada ya haya yote aliomba polisi wamkanye...
1 Reactions
10 Replies
756 Views
Ubatili mwingi nimeshaufanya mpaka sasa kama ule ubatili wa ugegedaji niliufanya vizuri kwa kiwango cha SGR , Hakuna chombo sijawahi tafuna, wanene wembamba, weupe, wafupi, warefu, wenye, chura...
10 Reactions
56 Replies
5K Views
Ana siku ya Tatu leo kajifungia gheto kwangu hataki kwenda kwao. Nilimwita for One night Show lakini kanogewa. Kila muda anataka tufanye mapenzi. Asubuhi kabla sijatoka anataka nimchakate, mchana...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu vipi? Hii kitu inaonekana imekaa kiajabu ila trust me, inasaidia sana. Unapofikia hatua ya kutaka kuoa hasa vijana wa mjini hakikisheni mnawafanyia uchunguzi wa tabia wapenzi wenu. Mtie...
47 Reactions
93 Replies
6K Views
Huyu ndiye mwanaume nimpendae, tatizo ana watoto watatu na hajaoa, na pia anasumbuliwa sana na wanawake wake wa zamani na wanawake wengi wanamtongoza kwenye simu na kila tutokapo out. Je...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Natumai hamjambo wakuu. Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira. Jana...
10 Reactions
99 Replies
8K Views
Natumai hamjambo wakuu. Miezi kadhaa nyuma nilipeleka kiatu kwa fundi ili aniundie cha aina ile coz nakipenda sana, pale ofisini alikuepo mrembo ambae ni mke wa fundi. Baada ya maelewano fundi...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari za usiku. Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoyakawaida imeutawala moyo wangu. Wanaume,inawezekana kweli tunawakwaza,iwe ni kwa kujua au kutokujua lakini haifanyi ukamwanika mke wako wa...
48 Reactions
245 Replies
19K Views
Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi. Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
549 Views
Nchini Thailand vijana wa kiume wanaojihusisha na biashara ya ngono imekuwa kubwa mno kiasi cha kuhatarisha idadi ua wanaume rijali. Vijana hawa hufanyiwa operation ya kubadilisha sehemu za siri...
13 Reactions
129 Replies
26K Views
Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,, Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana. * **** **** Miaka imeenda sana,, Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki...
16 Reactions
122 Replies
7K Views
Poleni na majukumu, Umri wangu ni miaka 32, hapo nyuma nikiwa na miaka 27 nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke anayenizidi umri kwa miaka 7,ana mtoto mmoja ana kazi yake hivyo alikuwa...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Wanawake ni wazoefu wa kuwa wanawake lakini hawana uzoefu juu ya jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke mwingine kimapenzi. Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kitu haswa kinachomvutia kwa mwanaume...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…