Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi...
19 Reactions
83 Replies
5K Views
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako. 2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi) 3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia...
48 Reactions
231 Replies
41K Views
TOLEO LA 01: HAWA NDIO WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel. Kuwaelewa wanawake ni moja ya kazi ngumu Kama wengi wasemavyo, Hii ni kutokana na wao kutofautiana wao Kwa wao Kwa kiasi kikubwa licha...
65 Reactions
136 Replies
19K Views
WATUMISHI WA MUNGU ACHENI HUU UPUMBAVU NA UKENGEUFU!🔥🔥🔥 Mitume,manabii,wachungaji hili linawahusu.Mnakosea sana kuwatumia wanawake vibaya kinyume na maandiko. Nabii Musa pamoja na miujiza yote...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika mahusiano yangu nimegundua kuna changamoto fulani inayojitokeza mara kwa mara. Mabinti wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu maumivu wakati wa faragha, wakidai kwamba nina maumbile makubwa...
2 Reactions
1 Replies
533 Views
Kuna mambo mengine tuna ya puuzia ila la kuzaa watoto wako wote kwa mke moja ni hatari kuliko hatari zingine za kifamilia tukistaafu. Kwa 70% watoto tunao zaa kuchukua gins nyingi upande wa mama...
16 Reactions
67 Replies
4K Views
Ni miaka 6 imebakia kufika mwaka 2030 ambapo kwa hali ya sasa ya wanawake na tabia na mienendo yao then kuna uwezekano mkubwa wakaingia umri wa utu uzima a.k.a Ukuta wa babeli wakiwa hawana...
61 Reactions
422 Replies
12K Views
Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker...
2 Reactions
9 Replies
985 Views
Kwema Wakuu! Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa...
6 Reactions
4 Replies
661 Views
Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana Jf. Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani[emoji35]. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi...
29 Reactions
112 Replies
8K Views
Mke wake alianza kubadilika tabia akanifuata na kuniomba ushauri,nikamuuliza kulikoni? akasema ni mara ya pili sasa mkewe anambwagia mtoto na kwenda misele isiyo na kichwa wala miguu,akimwambia...
6 Reactions
79 Replies
8K Views
Nimevurugwa sana.. Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini. Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake...
9 Reactions
178 Replies
20K Views
Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakina Manka wote ni wapambanaji katika utafutaji iwe kazi, biashara hata kudanga. Ili mradi pesa ipatikane.
5 Reactions
11 Replies
624 Views
Wana MMU Salama wakuu!! Kwenu nyie wanaume naomba mnisaidie why do you prefer bitches?? Nimekua nikiona wanaume wengi pamoja na kutambua dada fulani ni malaya lakini mmekuwa mkipigana vikumbo...
7 Reactions
104 Replies
12K Views
Habari ya jumatatu ya Pasaka!!! Leo nimeamua nilete visa vyangu nilivokutana navyo katika maisha. 1. Nilipokuwa kidato Cha 5 mtaani kwetu kulikuwa na mkaka ananitania mchumba angu, mchumba...
31 Reactions
276 Replies
28K Views
Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi 1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake 2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
"Ndoa Ni pasua kichwa!" Alisikika mwanaume mmoja akiwa amelewa chakari. Ndio, Kuna kosa kubwa Sana wanaume tunafanya mwanzoni kabisa! Kosa la kumshawishi mwanamke ili aingie ktk mahusiano ya...
17 Reactions
33 Replies
2K Views
Aslaam, Wanawake emu eleweni kuwa mwanaume Huwa kwenye mahusiano na nyinyi Kwa sababu ya mambo mawili. Jambo lakwanza ni Kwa ajili ya ngono(sex) lakini la pili ni Kwa ajili ya upendo. Lakini...
1 Reactions
4 Replies
659 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…