Watu wa mikoani (Vijijini), badilikeni too much!

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
940
1,847
Habari za muda huu wana Jf.

Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa umuhimu wenu, na tunapaswa kuwasaidia.

Ila hiyo dhana ya kudhani mtu nakitoka mjini anakuja na mafurushi ya hela itoeni kabisa kilini mwenu. Nyie ndio mnaofanya watu waonekane wameasi kwao, unaweza kuta mtu amekaa miaka zaidi ya mitano (5) hajaenda kwako.

Kwa namna moja ama nyingine hii inaweza kuwa sababu moja wapo.

Mnaomba sana mpaka mnaboa...inafika wakati unatamani kwenda kusalimia ndugu wengine lakini unakosa uhuru kutokana na balance uliyonayo na sisi wengine tumelelewa vyema huwezi kumnyima mtu mzima hela.

Yani nimefika kijijini leo siku ya tatu lakini mpaka nakosa amani, yani mtu anatoka nyumbani kwake tena sio hata ndugu wa karibu, anakuja kabla hata hujaamka kisa kaambiwa huko kilabuni kuna mtoto wa fulani ametoka DAR kuja kusalimia, hivyo hawezi kosa chochote.

Atakaa hapo ale anywe na akiondoka umpe chochote, leo asubuhi nimekuta watu 6, achilia mbali juzi na jana...kila mtu ana badget zake.

Leo imebidi nimwite mzee chemba. Nimemkabidhi fungu lao, na nikamwambia kabisa nimebaki na hela ya mafuta ya kunirudisha Dar, sasa kama wewe ndio umewaambia nipo hapa kawape hizo zako na mkeo.

Siku tatu nitumie 600k just kwa kugawa gawa tu nakulisha familia za watu wasijue hata mjini na ishije

Mtanisamehe kwa kweli, kama nitatafsirika nina roho mbaya acha ionekane hivyo.

Mliokutana na huu upuuzi hebu changieni tupate la kujifunza.
 
Acha Roho mbaya, kijijini kwetu hakuko hivyo hata kidogo sanasana watakuja kukujulia hali tu kwa Upendo.

Halafu nyie ndio mkienda kijijini pia mnataka mchinjiwe Kuku, muondoke na mayai, machungwa, ndizi na magimbi unafikiri yameota yenyewe huko?
 
Habari za muda huu wana Jf.

Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani.

Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa umuhimu wenu, na tunapaswa kuwasaidia.

Ila hiyo dhana ya kudhani mtu nakitoka mjini anakuja na mafurushi ya hela itoeni kabisa kilini mwenu
Nyie ndio mnaofanya watu waonekane wameasi kwao, unaweza kuta mtu amekaa miaka zaidi ya mitano (5) hajaenda kwako.

Kwa namna moja ama nyingine hii inaweza kuwa sababu moja wapo.

Mnaomba sana mpaka mnaboa...inafika wakati unatamani kwenda kusalimia ndugu wengine lakini unakosa uhuru kutokana na balance uliyonayo na sisi wengine tumelelewa vyema huwezi kumnyima mtu mzima hela.

Yani nimefika kijijini leo siku ya tatu lakini mpaka nakosa amani, yani mtu anatoka nyumbani kwake tena sio hata ndugu wa karibu, anakuja kabla hata hujaamka kisa kaambiwa huko kilabuni kuna mtoto wa fulani ametoka DAR kuja kusalimia, hivyo hawezi kosa chochote.

Atakaa hapo ale anywe na akiondoka umpe chochote, leo asubuhi nimekuta watu 6, achilia mbali juzi na jana...kila mtu ana badget zake.

Leo imebidi nimwite mzee chemba. Nimemkabidhi fungu lao, na nikamwambia kabisa nimebaki na hela ya mafuta ya kunirudisha Dar, sasa kama wewe ndio umewaambia nipo hapa kawape hizo zako na mkeo.

Siku tatu nitumie 600k just kwa kugawa gawa tu nakulisha familia za watu wasijue hata mjini na ishije

Mtanisamehe kwa kweli, kama nitatafsirika nina roho mbaya acha ionekane hivyo.

Mliokutana na huu upuuzi hebu changieni tupate la kujifunza.
Matatizo mengine tunajitafutia wenyewe.

Kuna mwaka nilikuwa likizo, kutoka US, mtu nisiyemjua alijichanganya kwetu, akaniomba hela kizembe, nikamwambia sina, kirahisi, bila aibu.

Habari ikaishia hapo. Nikaendelea na mambo mengine.

Sasa tatizo liko wapi?
 
Na mimi ndio nataka nianze hizo mambo, makavu bila chenga
 
Habari za muda huu wana Jf.

Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa umuhimu wenu, na tunapaswa kuwasaidia.
Hii tabia ni vijijini ko kichwa cha habari kilifaa kiwe "watu wa vijijini"
 
Nimeona hii trend ya kulaumu watu wa mikoani na wa Dar pia imeanzia Instagram au Twitter ..

Watu wa mikoani wanadhani huku Dar pesa tunaokota..

Na wa mikoani wakaanza kujibu..

Watu wa Dar mnafikiri huku Mwanza samaki tunaokota?

Watu wa Dar mnafikiri Singida ma ma housegirl wanaokotwa?

Watu wa Dar mnafikiri Mtwara korosho ni za kuokota?..

Wa Dar mnafikiri Mbeya mchele no wa kuokota?

It never stops hadi naiona hii thread leo
 
Habari za muda huu wana Jf.

Kuna katabia fulani wanacho baadhi ya watu waishio mikoani huwa inaudhi na kukera sana, mno yani. Tunafahamu, huko ndio chimbuko la uzao wa walio wengi umeanzia, tunaelewa

Mtanisamehe kwa kweli, kama nitatafsirika nina roho mbaya acha ionekane hivyo.

Mliokutana na huu upuuzi hebu changieni tupate la kujifunza.
Mkuu acha hiyo roho mbaya kwani ukifanya hivyo mara moja kwa miaka 5 kuna shida gani? Mie nafkiri ni wewe ndo huwa hujipangi huko mikoani kwa ndugu jamaa na wazazi!

Hebu fikilia kama kila siku unaweka akiba shilingi mia tano tu (Tshs 500), ukifanya hivyo miaka 5 , hesabu yake ni : 500 X siku 360 X miaka 5 , ambayo ni TSHS 912,500 ! Hii ukienda huko ukawagawagawa za mvinyo na biskuti mbona fresh tu unajipatia heshima na hadhi kubwa ya bure kabisa!

Shida nyinginne watu wa jijini tubadilike maana tunapokwenda mikoani wennngi tuna tabia ya kupretend kanakwamba tuna maisha sana hapa bongo lakini kumbe ndo hivi ukienda wakikutoa upepo kidogo unakimbilia JF kuanzisha uzi wa kuwapaka nduguzo hivi nani alikushikia kisu au bunnduki kwamba lazima utowe pesa??
 
Mimi nikiendaga msalimia baba angu kijijini kwetu uwa najipanga sana uwa nachechi elfu 5 na elfu 2 kibao nachenji kabasa elfu 5 za laki zinakuwa 20 elfu 2 za laki nakuwa nimemaliza kazi yani nikienda kwa mjomba nikiombwa ela mm kazi yangu kutoa tuy cjali najua kabisa iyo laki 2 kwa muda wangu wa wiki 2 itawatosha raia wote watakao niomna nimikutana nao chamsingi mkuu usiwape ela nyingi wakikuomba ww toa elfu 5 tu uwa wanashukuru mno arafu usipende lalamika sana..
 
Mkuu acha hiyo roho mbaya kwani ukifanya hivyo mara moja kwa miaka 5 kuna shida gani? Mie nafkiri ni wewe ndo huwa hujipangi huko mikoani kwa ndugu jamaa na wazazi! Hebu fikilia kama kila sik
Huu nao ni uzwazwa kabisa yaani unajimake kwa ajili ya kwenda kugawa pesa , ili iweje na kwa faida ya nani ,
Nampa MTU kitu nilichonacho kutokana na uwezo wangu kama sina basi
 
Ila kwenda kununua utelezi Sinza sio tatizo???😚😚😚😚😚.
Huoni raha watu wanapojisikia fahari kwaajili yako?
Hebu kunjua moyo.
 
Huu nao ni uzwazwa kabisa yaani unajimake kwa ajili ya kwenda kugawa pesa , ili iweje na kwa faida ya nani ,
Nampa MTU kitu nilichonacho kutokana na uwezo wangu kama sina basi
Acha mihemko si ndicho ulichotutagazia hapo sasa tukupa maarifa ili siku nyingine usije kutulilia hapa tusiohusika!
 
Nimeona hii trend ya kulaumu watu wa mikoani na wa Dar pia imeanzia Instagram au Twitter ..

Watu wa mikoani wanadhani huku Dar pesa tunaokota..

Na wa mikoani wakaanza kujibu..

Watu wa Dar mnafikiri huku Mwanza samaki tunaokota?

Watu wa Dar mnafikiri Singida ma ma housegirl wanaokotwa?

Watu wa Dar mnafikiri Mtwara korosho ni za kuokota?..

Wa Dar mnafikiri Mbeya mchele no wa kuokota?

It never stops hadi naiona hii thread leo
Hata Benghazi na Tripoli vita haikulipuka siku moja.
 
Back
Top Bottom