Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa...
15 Reactions
26 Replies
2K Views
Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Mpo salama Wakuu! Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye...
26 Reactions
405 Replies
11K Views
Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF. Na wote tuseme JF idumu milele. Ndugu zangu ujio wa app...
56 Reactions
788 Replies
38K Views
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi Waluguru eti kisa kimo/height yetu kwa taarifa...
35 Reactions
279 Replies
57K Views
Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
KUMKOSOA SANA NI DALILI KUWA HUYO SIO WAKO BALI UNAMLAZIMISHA AFANANE NA UMTAKAYE. Karibu kila mtu ana taswira ya nani anamtafuta kama mwenzi/rafiki hivyo siku ukikutana naye utamtambua kuwa...
2 Reactions
7 Replies
761 Views
S/N MASWALI MAJIBU 1 Mtoto wa umri gani analazimika kisheria kubaki na mama pale wazazi wanapotengana au kuachana? Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 iliyofanyiwa marekebisho Mwaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakikisha kila siku unaipiga sana. Inasaidia sana kuweka akili sawa. Sio unakuja kazini umekunja ndita. Makasiriko kazini hatutaki. Behave & fulfill your kuipiga responsibility. Wazee wetu...
18 Reactions
70 Replies
4K Views
Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka. Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
11 Reactions
20 Replies
1K Views
Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango. Mimi sio mwenyeji wako umekuja...
1 Reactions
1 Replies
345 Views
Older mnaokimbiliaa ndoa Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima Ni yule aliye na hofu na Mungu Haya makanjanjaaa...
20 Reactions
140 Replies
5K Views
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama...
24 Reactions
238 Replies
7K Views
Wakuu, Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani? Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Kumwaga mbegu kabla ya wakati (Prеmаturе ejaculation) ndio dalili kikuu ya upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. Ni hali ya mwanaume kushindwa kuchelewesha msimamo wa tendo la ndoa ili...
8 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani. Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili. Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau...
4 Reactions
14 Replies
963 Views
Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku. Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku. Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa...
3 Reactions
24 Replies
938 Views
Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe...
15 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi ni introvert nisiyejichanganya sana na watu,huwa siendi club wala sehemu zingine za starehe muda wangu mwingi huwa natumia kuongeza knowledge sababu kazi yangu inahitaji creativity ya hali ya...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom