Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yawezekana unakonda na kukosa raha huku ukifikiria hivi kweli fulani ndio kanifanyia hivi? Jibu ni ndio huyo ni yeye halisi na wala hawamzingizii bali huo ndio uhalisia wake. Kosa lipo kwako...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua...
0 Reactions
3 Replies
556 Views
Samahani Nimekuwa buzy naona kama napitwa Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan? Mbona kila mahali wanakataliwa? Nini mbaya nyiee? Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimekumbushwa mbali Nimeulizwa kama nakumbuka ulivyokuwa bikra ulikuwaje? Eti na wewe ulivyokuwaga bikra ulikuwaje? Je unamiss kurudi kuwa bikra au ukae hapo hapo?
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mdau: Money Penny kwanini unapendwa zaidi na wanaume kuliko wanawake huku Jamii Forums?! Wanao comment kwenye nyuzi zako wengi NI wanaume! Wanaokusapoti JF wengi ni wanaume?! Money Penny...
31 Reactions
559 Replies
38K Views
Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mida hii,bila shaka mko salama,wengi mmelala na wachache mko macho. Ili kuwapa moyo,kuwafundisha wengine pia,nimeamua nitoe yaliyonikuta,najua wapo wanaopitia nyakati kama...
65 Reactions
139 Replies
17K Views
1.usafi/hawatoi harufu 2.hawali chakula kingi 3.versatile 4.sio wavivu. Ongeza na sifa nyingine
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Baada ya kuona taarifa ya kamanda Muliro iliyolenga kutukamata sisi wateja wa madada poa na sio wao makahaba imeniuma sana. Sijashangaa sana kukamatwa sisi maana ni mwendelezo wa kile ambacho...
16 Reactions
37 Replies
46K Views
Raha ya ndoa, mume na mke kulala pamoja na kuamka pamoja! Hii ya mwanaume kuwa dodoma mwanamke yupo mwanza hiyo sio ndoa na sio tafsiri ya ndoa kimaandiko, maana lengo la watu hawa kuoana ni kuwa...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Right now things seem not to be working.Everyday am living with regrets of my past mistakes and blaming myself for everything I have done bad to myself. Other times I find myself blaming my mum...
1 Reactions
1 Replies
404 Views
Habari za jioni. Direct kwenye mada.Mke wangu dhahiri kabisa namuona anazidiwa na kazi za ndani huku akiwa na mtoto mmoja. Nikapata wazo nimtafutie msaidizi wa ndani ili kumpunguzia kazi uwezo...
1 Reactions
18 Replies
925 Views
Hello habari, Natumai upo salama. Mm Mimi ni kijana wa miaka 26 now naelekea 27, na kutokana na ratiba zangu, ni wazi kuwa ratiba inayofuata ni ndoa. Nimebakiwa na mzazi wa kiume. Kwa hivyo...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
HII STORY INAKUFUNDISHA NINI MWANAUME mmoja alikuwa anampenda sana mkewe. Walikuwa wamejaaliwa watoto watatu waliokuwa wachangamfu na walifurahia sana maisha. Yule mwanaume alikuwa analipwa...
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Nahitaji ushauri kuhusu jinsi ya kuishi na mpenzi aliye mbali (distance love). Kiukweli, naona kama tunadanganyana tu. Kila mara ni "nakupenda, nakupenda," lakini mimi ninahisi hali ni tofauti...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanawake mliokuwa kwenye ndo muheshimu waume zenu maana wamewapa heshima kubwa ya kuwaoa na kuwaweka ndani, wanawalisha na kuwavisha punguzeni midomo, gubu, dharau, jeuri, na baadhi yenu ku-cheat...
31 Reactions
84 Replies
3K Views
Chumba chako ni chako na mume wako tu. Haipendezi chumba cha wanandoa kuingiwa kiholela na watu ambao washavunja ungo iwe mschana wa kazi, wakwe, mawifi, mashemeji, majirani au yeyote yule...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
1. Don't give her free attention Low-value, insecure men are always trying to buy a woman's attention and validation by showering her with free attention, compliments, favors and constant...
3 Reactions
11 Replies
975 Views
Morning, Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga...
18 Reactions
99 Replies
5K Views
Back
Top Bottom