Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho. Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana...
2 Reactions
4 Replies
348 Views
Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings...
37 Reactions
160 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa? Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na...
42 Reactions
541 Replies
51K Views
Code ni simple tu Love yourself first afu mengine yafuate. 1. Kula vizuri 2. Vaa vizuri 3. Fanya mazoezi 4. Tafuta pesa
22 Reactions
58 Replies
3K Views
Hivi huyu Queen MASANJA ni msukuma? Toto limeiva Sana aisee Sina maneno mengi picha inaongea
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Jamani mimi si mpenzi wa mchezo huo bt nmejifunza mengi sn kupitia kwenye mitandao na jamaa zangu wapenda hiyo kitu. Ni kwamba mwanamke ukishamuandaa vema akakolea sana huwa kuna uhusiano kati ya...
22 Reactions
252 Replies
90K Views
Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
HAKUNA KITU KINACHOUMIZA KICHWA KWA SASA KAMA UKIKUMBUKA UMRI UNAKWENDA 😂
1 Reactions
4 Replies
498 Views
Hili ni jambo lenye thawabu kwa Mungu,tujitahidi kuwasaidia wanaotaka kuoana kwa kila hali.Fanya hivi: 1.Tengeneza orodha ya wanawake na wanaume ambao hawajaoa au kuolewa 2.Kila unaposikia kuna...
2 Reactions
2 Replies
403 Views
Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama unachangamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita. Nimeandaa uzi huu kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Hakika kwa hiki nilichokiona na kukishuhudia mwenyewe kwa macho yangu usiku huu hapa kitaani kwangu natangaza rasmi kusitisha kwa muda usiojulikana kufunga ndoa yangu iliyokuwa ifanyike mwishoni...
15 Reactions
150 Replies
27K Views
Kwa asili wanawake wote hutembea nje ya ndoa,ukioa hilo ulijue na wewe mwanaume,uwe mtulivu tu na usilete ugomvi jifanye kama vile hukuona
26 Reactions
190 Replies
7K Views
Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati...
75 Reactions
183 Replies
27K Views
Neno Marekani mtaliona sana tu, hadi nikirudi nyumbani. Ila leo niwape story kwa ufupi ili mjue safari zinaanzaje. Kwanza mjue mimi ni kiumbe wa kutoka mkoani huko, sio Mdaslamu. Na nilikuwa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke hana. Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tulio wengi.
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo. Umri 18-34 Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu. Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya...
13 Reactions
209 Replies
7K Views
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio? Nikamuuliza mbona sijafanya kitu...
49 Reactions
206 Replies
13K Views
Back
Top Bottom