Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri.
Kutokana na urefu wa kamba zetu na uwezo wa kushawishi, tunajikuta tunaishia kuwa na mahusiano na watu wasiokuwa na sura au...
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba
Nafanya kazi na Nina kipato...
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything...
Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa...
Habari rafiki,
Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni...
Natafuta mchumba anayemcha Mungu.
Umri kuanzia mika 30 na kuendelea. Awe aliyejiajiri au kuajiriwa. Awe hajawahi kuolewa na kuachika. Au mjane.
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Awe...
Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe.
Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au...
MKO WAPI MPENDAO ?
1. Hayapo tena mahaba
Ja alivyosema Kiba
kila mahali msiba
Mko wapi mpendao ?
2. Wasasa ni vibweka
Amani ni heka heka
Si mbwa ila wabweka
Mko wapi mpendao ?
3. Kupendwa ni...
Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona.
Kama ww ni kijana...
Katika msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya, niliamua kutumia muda wangu kwa njia tofauti. Katika pita pita zangu jijini, niliamua kutembelea "kijiwe" cha marafiki zangu maeneo ya Ubungo, mahali...
Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba.
Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea!
Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance...
Binafsi nilimpata mdada mmoja ivi,,
Mtoto pini ya hatari, shepu kama kajiumba mwenyewe.
Ebhana eeh,, siku ya mechi ilikua ni balaa bluuu. Papuchi ndogo kama ya mtoto sasa na hilo joto, kila...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka...
1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe...
Copied and Pasted
[17:04, 02/02/2015] Lily .CPA: Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja, hakuniuliza nini wala...
SIFA ZA MWANAMKE AMBAE YUPO KIMASLAHI KWENYE MAHUSIANO
Mwanamke ambaye yupo kimaslahi kwenye mahusiano anaweza kuonyesha sifa zifuatazo:
1. Kuweka Kipaumbele Kwenye Faida za Kifedha:
Atazingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.