Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaonitakia mema wajibu amen!
21 Reactions
116 Replies
4K Views
Nyoosha mkono juu
1 Reactions
15 Replies
819 Views
Ni muhimu sana kwa mke na mme kuwa wabunifu kwenye sex kila siku kwa kuzingatia yafuatayo: 1.maandalizi ya sex yaanze mara tu mnapoaganabkwenda makazini 2.amsha amsha ya sex iwe inaendelea baina...
2 Reactions
17 Replies
882 Views
1. Mkeo si mkamilifu, msamehe 2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje 3.Mkeo ni timu, mthamini 4.mkeo ni kito adimu, mtunze 5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako 6 mkeo ni furaha yako...
3 Reactions
11 Replies
973 Views
Rafiki yangu anahitaji mume. SIFA ZA ANAYEMHITAJI; Awe mkristo Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea. Asiwe mlevi. Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri Asiwe na zaidi ya watoto 2. Mwenye uelewa...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
MLIOZALIWA MIAKA YA 90 PUNDE ZAMA YENU ITAPITA IJE KWA VIJANA WA 2000😊 Ni ukweli mchungu ila utumike kama chachu ya kutuamsha na kuelewa kuwa sasa ni zamu yetu TUSILALE MLIOZALIWA MIAKA YA...
3 Reactions
11 Replies
752 Views
Jamani mimi niko huku ugaibuni ila kuna habari nimepewa na mtu wa karibu na familia husika kuwa majuma mawili yamepita sasa tangu jk azae na mtoto wa Rostam, vipi mlioko home, haya mambo yana ukweli?
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Nimetoka mkoa a kwenda b baada ya kukaa geust miez miwili nikaona isiwe kesi ngoja nitafute dalali anitafutie chumba, chumba kikapatikana ila hiyo nyumba anaishi binti pekee, nyumba ina vyumba vi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
JamiiForums habarizenu, Naitwa Hassan, natafuta mpenzi mwenye hekima, upendo, mwanamke na mcheshi.
8 Reactions
23 Replies
1K Views
NDUGU,kaka Baba Babu Mimi Niko hapa kibosho jaman mke wa jamaa Jana kalipindwa na ex wake kwenye majani Na Leo wale wanashuka kwenda lodge Jaman WANAUME MLIO oa Kilimanjaro hizi SIKUKUU wake zenu...
7 Reactions
17 Replies
967 Views
Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single...
16 Reactions
95 Replies
5K Views
Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi...
6 Reactions
8 Replies
767 Views
MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usijesema hili nalo sikukwambia. Ikiwa umeoa, Mkeo anakusumbua Sana. Iwe anakunyima tendo...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu habari!. Iko hivi mwakajana mwezi wa pili niliingia kwenye mahusiano na Binti mmoja ambaye tulidum takribani miez miwili tukaachana. Na chanzo Cha kuachana ni Mimi nilikuwa na mambo mengi...
4 Reactions
6 Replies
683 Views
Habari za mida wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa)...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo. Kisa kiko...
30 Reactions
129 Replies
5K Views
Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana. Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda...
23 Reactions
68 Replies
3K Views
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
27 Reactions
187 Replies
6K Views
Back
Top Bottom