Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.
Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee
Kuna muda naona...
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.
Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.
Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa...
Fanya research mda kuhondomola na shemela wenu umefika....
Kwa nn wanawake wengi wakiolewa wanaume wanajifsnya ndio wanawaona yaan utashangaa kila kona ukimwacha mkeo dist kidogo unasikia psii...
Happy new year 2026 MMU.
Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu...
Wakuu, moyo unavuja damu, sielewi nifanye nini! Iko hivi - Baba ameshaondoka nyumbani muda mrefu, tunaishi na mama tu nyumbani.
Suala la baba kuondoka nyumbani si tatizo tatizo linakuja pale...
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka...
Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena.
Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana.
Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye...
Vijana wa kiume, sikilizeni kwa makini.
Hamna haki wala uhalali wa kujiingiza katika tendo la ndoa bila kinga na mwanamke ambaye bado hujakutana na wazazi wake, hujazungumza kwa dhati kuhusu...
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.
Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba...
Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu...
Hivi kusah ameshindwa kupeka moto mbona hivi? Watu tunapiga bao hadi sita afu anatokea mtu anasema kwenye ndoa ni moja tu, itoshe kusema kwamba wanaume wa dar hakuna lolote.
Huyu Aunt ivi...
Tajiri huwa hasalimii kila wakati.
Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22.
Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26.
Hivi huwa wanaongea...
Kama unatoka kwenye familia au ukoo usio na utamaduni wa kukaa pamoja kwenye vikao vya kujadili maendeleo, changamoto na mipango ya kusaidiana ili kila moja aweze kujitegemea kiuchumi, mara nyingi...
Wiki hii yote nimesoma threads kadhaa za comrade Zemanda akiongoza movement ya kutokomeza ma-simp. Mimi kama askofu mkuu wa injili ya redpill hapa jf nitakua sijatenda haki nisipoandika chochote...
Usimuamini sana mke wako na hata mpenzi wako , kama una mke basi jitahidi uwe na wake 3 mpaka 4 na ukiwa na mpenzi jitahidi uwe nao kuanzia wa 4 pamoja na michepuko mingi
tofauti na hapo ni...
Hebu tazama hii, sina mengi ya kusema! Ila kwa hakika tulio ndoani tunavumilia mengi Sana.
Hapa ni mke wa mtu, ana watoto kabisaaa, na mume WA madhabahuni!
Nachoka Baba yenu, Nachoka sanaaaa!