Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Shalom, Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya. Sina...
12 Reactions
58 Replies
3K Views
Piga ua lazima mmoja amroge mwenzie alasivyo fujo,vurugu na vitimbi havitaisha. Iwe jua iwe mvua lazima mmoja wenu awe msukule wa mwenzake!. We sema hela Sasa utateseka na hela zako,cheo...
17 Reactions
101 Replies
6K Views
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani. Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni...
112 Reactions
1K Replies
91K Views
Kwanza kikazi chetu ni kizuri kinaleta changamoto kwenye jamii na kuonyesha ma "gap" mengi ambayo hayajazibwa vizuri kwenye jamii. Kinapima uwezo na utoshelevu wa malezi yenu (Millennials) Je...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana...
36 Reactions
206 Replies
6K Views
1. Wanawake wembamba wana roho mbaya. 2. Wanawake wembamba hawajiamini especially unapotembea nae na mkapishana na mwanamke mwenye shepu na mitako ya haja. 3. Wanawake wenye makalio wanazaaga...
21 Reactions
134 Replies
11K Views
Nilikuwa kijana sasa ni mzee. Miaka hiyo nafanya kazi kwa kijana mwenzangu ambaye Mungu alimbariki na kumuinua sana kiuchumi kwa nyakati hizo. Ni kati ya Waafrika wa mwanzo kumiliki SCANIA 111 na...
16 Reactions
61 Replies
3K Views
Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye...
12 Reactions
162 Replies
5K Views
NILIMPA FIGO YANGU Kila ninapokumbuka, moyo wangu unauma, Nilimpenda Rebeka, ni binti wa Kimanyema, Chuoni nilipofika, kwa pamoja tulisoma, Nilimpa figo yangu, la mbele sikutambua. Tangu afike...
0 Reactions
6 Replies
533 Views
1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi. 2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda...
43 Reactions
63 Replies
3K Views
Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa...
35 Reactions
188 Replies
7K Views
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
11 Reactions
143 Replies
5K Views
Habari Niwe muwazi mimi nishamuelewa huyu Kijana.. mwanzo nilihisi upwiru tu nikamtamani ila Sasa najihisi kumpenda.. Tumeshakulana zaidi ya mara moja na namuhitaji zaidi.. Sasa niwaambie...
14 Reactions
167 Replies
4K Views
Wakulungwa hamjamboooo....!?? Ule wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu sasa umefika. Hatimaye bibi Kasinde amestaafu na kulipwa stahiki yake kwa kuitumikia Jamuhuriya Muungano wa Tanzania kwa...
14 Reactions
78 Replies
4K Views
Habari wadau. Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao. Inasemekana walifanya harusi...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Kwanini wanawake wenye vitambi wengi wao wanakuwa na jazba na hasira sana hata katika mambo madogo ya kawaida.?
15 Reactions
104 Replies
4K Views
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU! Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si...
16 Reactions
147 Replies
7K Views
Nimevunja uhusiano wangu uliodum kwa miaka mi4 na mchumba angu tuliyekuwa tunaishi pamoja.katka miaka yote mi4 hatukuwai kubahatika kukaa pamoja zaidi tuliekuwa tunakutana mara2 au 3 kwa mwaka na...
9 Reactions
92 Replies
7K Views
Heri ya mwaka mpya. Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano...
25 Reactions
174 Replies
16K Views
Usishangae sana sii kwa ubaya huyo huyo best friend wako wa damu damu, ambae muda mwingi unapoteza nae, huyo huyo ambae shida zako nyingi anakusaidia kutatua kwa moyo wake wote. Huyo huyo ambae...
18 Reactions
152 Replies
19K Views
Back
Top Bottom