Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili...
40 Reactions
72 Replies
4K Views
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania. Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Mtu ambaye anaweza kuumizwa sana ni yule ambaye kipaumbele chake namba moja ni kupendwa sana na kukubaliwa na kila mtu.Unapotaka kumfurahisha au kumridhisha kila mtu ni wazi kwamba unakua haujui...
2 Reactions
3 Replies
818 Views
Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni. Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo. Tunakwama wapi jamani?
14 Reactions
99 Replies
9K Views
Kuna wazazi wanawalea watoto wao wa kiume kimayai sana! Yani mpaka leo anakaa naye nyumbani. Na kijana anakazi yake inamlipa fureshi, sasa cha kushangaza kijana wa kiume hata kuoa hataki. Hana...
1 Reactions
10 Replies
549 Views
Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo...
8 Reactions
29 Replies
940 Views
Ndugu zangu salaam Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano. Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae. Mambo mnne...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Kuna watu ambao huwa na tabia ya dharau, majivuno, kiburi, ujuaji,wanajiona ni wazuri sana,wanajiona ni ma-superstar kwa maana ukiwa naye kwenye mahusiano akili yake inaamini kwamba anakusaidia...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini ndugu Baada ya kupata mtoto, ilibidi mzazi mwenzangu aje nyumbani kwetu kumleta mtoto Bibi yake amuone kwani alikuwa na shauku ya kumuona mjukuu wake. Walikaa kwa kipindi cha miezi...
5 Reactions
400 Replies
12K Views
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo: 19 to 32 years Mweupe na beautiful Mrefu kiasi Sio mnene wala mwembamba sana Mwenye dimpoz Awe tayari...
24 Reactions
191 Replies
6K Views
𝙈𝙎𝙄𝙆𝙄𝙇𝙄𝙕𝙀 𝘼𝙎𝙃𝙍𝘼𝙁 𝙃𝘼𝙆𝙄𝙈𝙄 Alipoulizwa kama aliweka mali zake chini ya uthibiti wa mama yake kwaajili ya Ndoa: Hakimi alisema: "Hapana! Hii haina uhusiano wowote na ndoa, kwa sababu kama...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini. Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa...
72 Reactions
255 Replies
14K Views
Ukiangalia historia ya maisha ya watu wengine waliotangulia utabaini kwamba maisha ya mwanaume siku zote huwa magumu sana.Mwanaume anaweza kuonewa huruma nyakati nne ,moja akiwa mgonjwa sana,mbili...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Bwana Yesu apewe sifa. Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa. Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao...
26 Reactions
245 Replies
8K Views
Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe. Nina miaka 37 na niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa miaka 12 sasa. Yeye ana miaka 35, ni mwanamke...
19 Reactions
183 Replies
8K Views
Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu. Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha...
2 Reactions
3 Replies
369 Views
Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe . Yule binti alikuwa na miaka 20...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
HESHIMA KWENU kupitia maisha ya kila siku ni kweli kuwa jina hali define hatima wala halileti hela. ila kwenye dini zote tunasisitizwa IMANI MOVES MLIMA , tunaweza kuinvest majina kwa watoto...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Back
Top Bottom