Fahamu sababu zenye kufanya ûnampenda sana mtu ambaye hakutaki kisha hauna hisia zozote kwa mtu ambaye anayekupenda na kukuthamini.
Huwa inatokea sana katika maisha ya kila siku.Mtu ambaye...
Wakuu habari zenu..
Leo naomba kuongelea swala moja hivi ambalo mie nahisi ni udhalilishaji wa mwanamke kwa kiasi kikubwa, nacho ni
MTUNGO...
MTUNGO ni hali ile ya mwanamke kufanya mapenzi...
Habari zenu wana janvi!!,naamini mko Salama mkiendelea kuisaka shilling ya jiwe...
Japo ni ndefu kidogo,Tafadhali soma ili unisaidie.....
Mimi naitwa Emma mkazi wa Dodoma.Kipindi Niko form three...
Members Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's
I have a girlfriend and we love each other a lot ila Nina tatizo moja la kuvutiwa na ma lesbians sijui kwann
Nikigundua tu wadada flan...
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha...
Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti
Sasa najiuliza hiv...
Salaam,
Tupo washikaji kumi Na tatu ambao tuna aminiana sana na tunatunziana Siri. Tuna group la whatsap ambalo unaeza tuma chochote na hakieza toka nje ya hilo group Na tuliapishana kabisa hata...
1: Mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako.
2: Tafuta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati
3: Usitumie...
Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi.
Mchina kama anaweza fanya hii pia...
Habari zenu mabaharia,
Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty, ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa...
Kipindi tupo likizo form six ila tulikua tumebaki shule kuna ka dem ka form four shule jirani kalikuja kutuomba tue tunakafundisha tukakubali tukawa tunakafundishia room.Siku mmoja kamekuja kula...
Huyu dada mtu mzima alikuwa anafanya kazi ofisi moja ya serikali ipo katikati ya jiji la dar es salaam manispaa ilala. Alikuwa dada mtu mzima mzuri wa sura na umbo la haja.
Boss wake mara nyingi...
Habari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake...
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu...
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na...
Mnaopinga ndoa mnaishi ulaya au America?
Kama ni africa mnazingua.
Sheria za wenzetu zinawabeba wanawake,mkiachana ni pasu kwa pasu,lakini sheria zetu zinawakandamiza wanawake.
Ewe kidume...
Dunia sio…, Maisha yanatesa mno…, ukiona unafurahi basi kuna watu wako nyuma yako wanatesekea furaha yako leo…, siku na wao wakifurahi basi furaha yako itakatishwa kama sio kudhoofika..,.
Maisha...
Waungwana shida ziko palepale!
Twendeni kwenye mada
Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana...
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko,
Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo...
Hivi Wanaume wa siku hizi ni pre mature au shida ni nini? Mwanaume mtu mzima unajinyongaje kisa Wivu wa Mapenzi?
Wengine wanaenda mbali zaidi Kwa kuua wapenzi na Watoto wao Sasa sijui inakuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.