Naombeni dawa ya usaliti

kunta93

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
750
1,482
Habari zenu wana janvi!!,naamini mko Salama mkiendelea kuisaka shilling ya jiwe...

Japo ni ndefu kidogo,Tafadhali soma ili unisaidie.....

Mimi naitwa Emma mkazi wa Dodoma.Kipindi Niko form three katika shule moja huko tabora nilibahatika kupata rafiki mmoja alieitwa Roger. Maisha yangu yote sijawahi pata rafiki kama roger na sitokaa nipate upendo kutoka kwa rafiki yoyote kama alionipa Roger.

Kiukweli alikua ana moyo wa kipekee kwangu.Kipindi tumeingia form four alihamia binti mmoja alieitwa Nancymona ila class tulipenda kumuita Nancy.

Alikua mkali kiasi kwamba alileta changamoto class,shule hadi kwa waalimu.alikua mweupe mrefu anamzigo sijawahi ona na mguu wa kizungu.Siku mmoja tupo class Nancy aliniita akanambia kua ombi langu amenikubalia mwenyewe alikua ananielewa sana,ile kibishi namimi ni kasema haina kwere huku moyo ukinienda mbio ila nilitumia tu uanaume pale.baadae Rogers akaniambia kua "alinitongozea".

Alimfata Nancy na kumueleza kua alikua ananitesa na namkubali kinoma maskini ka Nancy kakajaa.basi mapenzi yakawa motomoto pale shule hadi tukawa gumzo.

Nancy alinipa umaarufu hadi vidada vikaanza kunimendea nikawa navichomolea.siku moja bila kujua Roger alinitorosha skuli tukaingia hadi town kwenye guest mmoja hv akanambia kua ashamchana Nancy na yuko njiani anakuja ameomba ruhusa ya kwenda hospitali.

Nilitetemeka sana ila nikajikaza kiume.nakumbuka gesti ilikua twenty ila nilikua na ten na ten lingne aliongezea Roger.

Basi mtoto akaja nikapiga mashine hadi akaishiwa nguvu akabaki kuniita daddy daddy daddy
Basi ukawa ndo mchezo,ikawa haiwezi kupita mwezi bila Nancy kuchezea mashine na kila siku alikua ananiambia Nina mashine tamu sana AF ngumu

Kuna siku nilimla class mda wa lunch huku rogers akiwa mlangoni ili kutusanua mtu akiwa anakuja,usiombe kugegedana sehem hatarishi utamu wake ni mkubwa sana

Tukawa tunatoroka tunaenda mpaka vichakani tunatafunana hadi mifupa huku Roger akiwa ametulindia
Kuna kipindi nilimpa mimba roger akanikopa nusu laki na akatusindikza kwenda kuchomoa
Tulibahatika kuchaguliwa shule moja advance na migegedo ndo ikazidi kabisaaa,maana babu juma alikua akienda tu mnara lazma Nancy achezee kipgo kitakatifu

Wakati wote huo Roger hakua ana dem.Baada ya form six Nancy sikuwahi msikia tena but Roger we always kept it tight,tuliendelea kuwasiliana because we were brothers

Baada ya kumaliza chuo na kukaa miaka mitatu bila kazi Roger wiki jana aliniita daslam ili nmsaidie kwenye shuguli za kampuni yake huku tukiendelea kusaka kazi.yeye hakusoma chuo na ana kampuni yake ya kusomba mchanga,mawe na kokoto kwa ajili ya ujenzi namimi aliniita ili ni msaidie katka ukusanyaji mapato ya kampuni.yaani Mimi ndo niwe nazunguka kudai na kukusanya malipo.

Nilipofika ubungo akaja kunipokea na kunipeleka baa kwanza tukapiga urabu na kisha kunipeleka home.....sikuamini nilipo pokelewa na Nancy mlangoni nikawa nahic labda ni pombe,Mara moyo ukanituma kua huenda Roger kaandaa mpango kama kawaida ili niendelee kukandamiza kama kawa wakat nikiwa natafta kazi (nilipowaza tu hv dushe likasimama)...nilizidi kuchanganyikiwa nilipo letewa mashuka na kuoneshwa chumba cha kulala huku nikiwaona Nancy na Roger hao wakielekea chumban kwao..Sikulala usiku mzima Ndugu zangu

Nilipata homa nilipoamka asubuhi nikakuta wakikavalisha katoto kao kaende shule,nilihisi kupata degedege lililoambatana na kifafa
Nilijiuliza maswali mengi sana ila majibu hadi sasa sijayapata

Bado sijaanza kazi yake(nahisi sitoifanya kwa huu usenge niliofanyiwa) na kila siku anatuacha na Nancy geto

Mimi na Nancy hatuongei kabisa Roger akitoka, japo natamani kumuulza what happened ila mdomo unakua mzito

NAOMBENI ushauri,dawa ya hii hali ni nini Ndugu zangu....

HIV kweli Roger hakumbuki kipindi namtafuna mke wake yeye akiwa ametulindia???

Nancy nae kazidi kua mtamu na najua nikimuomba gem atanipa tu kwasababu kazi yangu anaielewa

Ushauri wenu wakuu...
 
Mtego huo kuna kitu wamepanga ..Roger alijua fika kwamba amemuoa mwanamke wako na bado akakukaribisha home kwake
Ye sio fala na anakuacha naye home sasa wewe jitie kidume ukumbushie utajuta.

Kama kweli unashida ya kazi Fanya kilicho kupeleka kama hutaweza kuvumilia ni bora uondoke..
Zakuambiwa changanya na zako ni mtego huo kaka shtuka.
 
Najaribu kuwaza mtu pekee kama kaka uliekua naye akuite kwa kazi ukute hiyo hali ina mana hata alivooa hakukuambia anaoa??

Pole fanya kaz hama hapo kapangishe kwengine achana na wazo la dawa ya usaliti we elewa sio wako tena na ana maisha yake
 
Labda nikwambie tu ukweli Roger anaelewa kila kitu na labda kaweka kamera apo ndani anawafatilia ila kikubwa tunza heshima ya rafiki yako alikuamini sana kipindi mnasoma embu nawe jaribu kurudisha fadhila kwakwe kaa ongea naye muombe uhame apo home ikiwezekana akupangie sehemu nyingine au kwa rafiki yake ili uanze kuzoe polepole na uishinde tamaa ya kurudiana na uyo demu ongea na rafiki yako ukae na umueleze ukweli ili badaye shetani acpite kati yenu tumia akili sana kwenye ili swala kuliko hisia
 
Asante sana kwa ushauri
 
Asantee sana kwa ushauri mzuri
 
Labda nikwambie tu ukweli Roger anaelewa kila kitu na labda kaweka kamera apo ndani anawafatilia ila kikubwa tunza heshima ya rafiki yako alikuamini sana kipindi mnasoma embu nawe jaribu kurudisha fadhila kwakwe kaa ongea naye muombe uhame apo home ikiwezekana akupangie sehemu nyingine au kwa rafiki yake ili uanze kuzoe polepole na uishinde tamaa ya kurudiana na uyo demu ongea na rafiki yako ukae na umueleze ukweli ili badaye shetani acpite kati yenu tumia akili sana kwenye ili swala kuliko hisia
Nashukuru sana,hii weekend ntazungumza nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom