Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Hii skendo ilikuwa ni kama 'jumba bovu' mwanaume mkware aliamua kuniangushia mimi baada ya kuona hakuwa na majibu ya kujitosheleza kwa GF wake baada ya GF wake kugundua kuwa paketi moja ya condom...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wale wakubwa wenzangu mtanielewa vizuri! wakati wetu wasichana warembo walikuwa kwa hesabu. Nilipokuwa shule ya msingi miaka ya '70 nilisoma darasa moja na msichana ambaye kwangu alikuwa a woman...
6 Reactions
80 Replies
7K Views
Wana jamii forum poleni na kazi za kulijenga taifa,naomba kuuliza,kuna rafiki yangu mtaani hapa anampenzi wake ambae anatarajia kutangaza uchumba.lakini huyo mwanamke kamwambia ukweli jamaa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Get well soon Speaker. Una kazi kubwa ya kukamilisha na nina imani utapona haraka uimalize. Miss you sana.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
This article is not for ladies alone..Guys, if u love your lady, then my guess is sometimes when she is having her Periods, you are also stressed as she goes through Pain and discomfort.. The...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ila sijajua na nani ila nasikia so much love inside hasa nikipita maeneo fulani hivi hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na...
7 Reactions
161 Replies
10K Views
Eti, sababu hasa ya kinadada kutokuwa wawazi pale wapenziwao wanapokuwa hawawafikishi ni nini hasa??? Kwanini huwa wanapenda kuumia kimyakimya??
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume. Nina mpenzi wangu ambaye bado yupo chuo anasoma. Nimekuwa nikijitahidi kumsaidia mambo mengi sana pale hali yangu ya uchumi inaporuhusu. Hivi majuzi ilitokea huyu binti alipata...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Mchungaji kapera hakuacha kuangaza-angaza macho Kwenye kwaya ya kanisa lake akajionea kitoweo murua Binti sura nyororo na rangi yake ni hudhurungi bila karaha Mchungaji kuona hivyo akaambuliwa...
9 Reactions
66 Replies
7K Views
There is a common belief out there that men are naturally selected to have many sexual partners at a time especially at their most productive age. There is also a denial for most women, old and...
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Nawasiwasi na uwezo wake wa kuchanganua mambo..she can't even send a well written and easily understood text, lazima utumie kama nusu saa kuelewa amendika nini..and yet you still love...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Hata sijui sababu ni nini, maana kama ni kula nakula vizuri tu na mke wangu anajitahidi kunipikia mapochopocho mpaka basi lakini mwili wangu hauridhiki sijui kwanini, yaani nimekuwa na maumbile...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Kweli dunia ya leo MALIPO ka Internet ya AIRTEL yani very faster, kuna huyu dadangu wa kusoma pamoja ALIPORA/NYANGANYA mpenzi wa mtu, mapenzi haya mapya yakasogea siku kadha wa kadha huku huyu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana MMU polen kwa ujenzi wa taifa na hongereni kwa mapumziko ya jioni. wapendwa hebu tudadavue hapa ni kweli kwamba hii dhana ya mtu fulan ni mtamu au siyo mtamu kunako majamboz ni kweli...
6 Reactions
358 Replies
38K Views
Umewahi kuwa narafiki yako wakaribu mno mnaye share nae mambo kibao(best friend)? mmekuwa pamoja,sekondari, chuo pamoja...anakujua mwanzo mwisho, viwanja vyako vyote na fujo zote nk But here...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Siku moja, baba tajiri alienda na mtoto wake safari kijijini. Alitaka kumuonyesha ni jinsi gani mtu anaweza kuwa masikini sana wa mali. Walifikia shamba moja la familia ya kimasikini. Safarini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa leo tu.... nakumbukia enzi zileee napenda bintimurua sana, lakini enzi zile zaidi ya kuandika barua sikua na ujanja hata wa kumsalimia Ni kwa leo tu, nakumbukia the good old days
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za siku wadau, Nimekuwa nkijiuliza whether i am emotional insensitive ama kuna watu waliumbwa kutokupenda.. Naomba nsieleweke vibaya but sijawahi kupenda nadhani. I‘ve had...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani naombeni ushauri kuhusu hii ki2 yangu imepinda kama ndizi hv wakt imesimama sasa sijui naweza kwenda kufanya opereshen niinyoshe.......maana kwakweli mimi sifurahish jinsi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…