Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,672
Wana MMU polen kwa ujenzi wa taifa na hongereni kwa mapumziko ya jioni.

wapendwa hebu tudadavue hapa ni kweli kwamba hii dhana ya mtu fulan ni mtamu au siyo mtamu kunako majamboz ni kweli? mathalan utaskia wakaka wengi wakidai demu fulan mtamu sana sasa mimi hapa huwa nashindwa kuelewa kitu kwani extent ya pleasure unayoipata wakati wa climax inatofauti from one person to another?

na je kwa wadada eti kuna tofauti kweli kati ya mkaka na mkaka katika kutoa raha provided kuwa orgasm utaifikia?
 
Mimi naweza sema, fulani nampenda kuliko fulani!

Na kwa ninaye mpenda love making inakuwa tamu. Maumbile ya sex organ hayahusiki sana, ingawa huge inaumiza; ndogo kama mwenye nayo anajua kuitumia haina shida. Kwangu kumpenda ndiyo determinant
 
you have logic Kaunga, mimi i believe in your theory. But to me extent of pleasure at climax is just the same so long as i love the person. But also nafikir ni utundu tu wa mtu ila si amin kama kuna mtu mtam zaid ya mwingine
 
Last edited by a moderator:
utamu.....mwili msafi
mwili una afya..
mwili umetunzwa vizuri..
mwili uko kwenye 'zone ya sex'...
unavutiwa nae pia

assuming that all those factors are kept constant is there any difference from pleasure attained at climax from one person to another?
 
Uchangamfu wako ndo utamu wako km hamjui. Hawa mnaowaona na kuwasifia mademu bomba wengi kunako 6*6 ni wavivu saana tu. wanatosheka na uzuri wao wa nje, wanajua wanaume watakuja tuu! so mara nyingi wanaume wakila mzigo utawasikia wakilaani kwamba demu anasoma gazeti tu. Ni km hao mnaowaita ma Handsome, muda mwingi wanatumia kujipodoa tu na kujiweka smart outside ili wawavutie zaidi warembo, lkn kunako 6*6 wengine mpaka apate stimu kwanza. hata hapo utasikia akina dada wakilalamika mwanaume mzuri lkn kitandani mtupu. All in All jituime kitandani, kuwa mbunifu utakuwa mtamu sana tena sana. Sometimes km mnataka darasa mni PM niwafunde jinsi ya kucheza kunako 6*6
 
Ni kweli mwanajamii na hasa wale wanawake wanaojisafisha sana sehemu za starehe huwa sio watamu Kabisaaa kwani huwa wanaondoa ule uhalisia Wa sehemu yenyewe (mnato),maana wengine wanaingiza kidole mpaka ndani kabisa karibu na Kizazi wakidhani ndio usafi Kumbe wanaharibu mazingira.
 
ni sawa na Nyama ni ya ng'ombe kuna iliyonona na ambayo haijanona unapoila
 
Uchangamfu wako ndo utamu wako km hamjui. Hawa mnaowaona na kuwasifia mademu bomba wengi kunako 6*6 ni wavivu saana tu. wanatosheka na uzuri wao wa nje, wanajua wanaume watakuja tuu! so mara nyingi wanaume wakila mzigo utawasikia wakilaani kwamba demu anasoma gazeti tu. Ni km hao mnaowaita ma Handsome, muda mwingi wanatumia kujipodoa tu na kujiweka smart outside ili wawavutie zaidi warembo, lkn kunako 6*6 wengine mpaka apate stimu kwanza. hata hapo utasikia akina dada wakilalamika mwanaume mzuri lkn kitandani mtupu. All in All jituime kitandani, kuwa mbunifu utakuwa mtamu sana tena sana. Sometimes km mnataka darasa mni PM niwafunde jinsi ya kucheza kunako 6*6

sasa Chimunguru umesema mengi sana hapa ila kwenye ule mzizi wa swali langu kuna tofauti kweli eti mwanamke huyu ni mtau na huyu siyo mtamu and kwa wanaume pia? kwani kama mtu akikufikisha at climax utasema orgasm hii ilikuwa nzuri kuliko hii hivi kweli kuna hiyo tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom