Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana. Mrejesho upo...
19 Reactions
325 Replies
18K Views
Salaam jamiiforum Habari za jumapili hope mko wazima. Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji...
15 Reactions
69 Replies
3K Views
Unambariki? Kwanini? Ninambariki mno mno. Nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani. Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo...
27 Reactions
361 Replies
23K Views
Wakuu ukiachana na swala.la wanawake kupenda sana hela zetu ila mimi pia nina tatizo binafsi ambalo linanikwaza sana. Ipo hivi wanaume tumeumbwa kutoa hiyo ni nature japo wanawake walaghai pia...
17 Reactions
93 Replies
3K Views
Je, kumuacha mtu umpendae ni kitu rahisi? Na je kama ni rahisi ninjia gani hutumika kuondoa maumivu ya moyo? Kama umeshawahi kupitia maumivu naomba uniambie ulivukaje (kiufupi kuna kiumbe...
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni...
36 Reactions
204 Replies
7K Views
Wakuu thread tajwa izingatiwe. Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Afadhali kuwa single maisha yako yote kuliko kufa mapema mikononi mwa mchawi. Wanawake wengine ni kama wachawi tu, kila siku wanaroga wanaume wa kuwatesa, wanapenda ndoa na huwa ni 'wanyenyekevu'...
20 Reactions
53 Replies
2K Views
Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida. Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama...
12 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke...
11 Reactions
228 Replies
33K Views
Habarini wana jamvi... Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli...
24 Reactions
124 Replies
28K Views
Saikolojia ya mwanaume iko hivi... Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla. Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa...
13 Reactions
131 Replies
12K Views
Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti. Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Mke alienda nyumbani tangu Dec, nipo tu home mwenyewe. Sasa nina nyege balaa, nagalagala tu kitandani, kununua malaya hela inaniuma. Kuchepuka nina majukumu mengi sana siwezi kuhudumia...
11 Reactions
116 Replies
5K Views
Ni bahati mbaya sana inatokea, nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa. Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
14 Reactions
98 Replies
5K Views
Jamani kweli uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu, yaani unakuta mwanaume mwenzio ana mchuchu mkali yaani pisi kali ile mbaya laa ajabu anamnyanyasa ile mbaya. Dah! Alafu mchuchu unamtokea...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu...
15 Reactions
75 Replies
7K Views
Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki...
18 Reactions
87 Replies
9K Views
Aisee, hili suala la hamsini kwa hamsini linatupeleka pabaya kwa kweli. Sidhani kama tutafika. Umeanza na Melki nakupenda nikawa nakuangalia tu, ukaona haitoshi ukatangaza mtaa mzima kuwa tuko na...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Zile mada zenu kuwa akija siku ya kwanza aliwe huwa mnadanganyana sana saa nyingine mnapoteza wanawake wa maana kwa tamaa zenu Ishu ni hivi ukiona umekutana na mwanamke siku ya kwanza tu au ya...
4 Reactions
17 Replies
919 Views
Back
Top Bottom