MREJESHO: Simuelewi mume wangu

miss chuga

JF-Expert Member
Dec 25, 2019
303
651
Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.

Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.

Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.

Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?

Pia soma: USHAURI: Simuelewi mume wangu
 
Poleni na majukumu, wiki Kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa. nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki sana. Mrejesho upo hivi baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni Nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri Kama mwanzo, kiukweli bado sijaridhika na hili jibu naona Kama ni usanii vile hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake naona tu Kama mapicha picha bado yanaendelea. Naombeni mnisaidie vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake
Huyo hana nguvu za kiume.
 
Kwa hiyo tangu kipindi kile mpaka sasa bado mume wako hajakupa haki ya ndoa?
 
Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
Sina harufu Wala tatizo lolote nipo tu vizuri alafu pia hanaga kinyaa maana kipindi tunafanya kuwa alikuwa anapiga deki kila sehemu Mimi kilichobaki sahivi nahisi tu Kuna mtu kamloga maana nishajikatia tamaa
 
Poleni na majukumu, wiki Kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa. nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki sana.

Mrejesho upo hivi baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni Nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri Kama mwanzo, kiukweli bado sijaridhika na hili jibu naona Kama ni usanii vile hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake naona tu Kama mapicha picha bado yanaendelea.

Naombeni mnisaidie vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake
dada achana nae me nipo teyal kukupokea hautakiwi kuteseka katika dunia ambayo unaish mara moja tu.

Nipokee nikupokee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom