HAbari za muda huu wana JamiiForums.
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa afya njema na uzima wa kiroho na kimwili. Leo nimekuja kuwashukuru walio niadvice kwa busara zao na kwa neema ya Mungu...
Porno isikudanganye mwanamama
Kataa kabisa kutoa makebo yako, katalia kabisa etugru yako.
sio tu unabaki na sehemu iliotanuka kama nyavu za kuvulia samaki bali pia unajitengenezea njia ya...
Habari ndugu zangu.
Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.
Mmekutana huko mkaanza...
My people,
Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake
Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho...
Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake...
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar.
Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na...
Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani...
Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume
Akili inanituma hivo
Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua...
Jana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio...
Kisa cha kweli, mwaka Jana katika kurupushani moja uku Singapore nikapata sehemu kuna mtandao wa wadada wanao fanya escort (hunters) nikasema ngoja nifanye research kuhusu suala ili.
Nikagundua...
Ukweli ni mchungu lakini acha niuseme mwenye HEKIMA atajifunza jambo.
Mwanaume aliye na malengo lazima ajue kabla yakukosea njia sahihi ya kuoa.
Huna haja ya kulala na mchawi ili umsaidie...
Faida nilizopata ni nyingi Sana
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,
Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu...
Baada ya ujana kuuputia vya kutosha sasa naamua kuacha mambo haya hasa ya wanawake ,ninamrudia Mungu na ninataka kuwa mtu wa heshima sasa maana nimefanya mengi mno,
Nakumbuka nimeshatembea na wake...
Ujana una mambo mengi Nina story nyingi hasa ujana ukiwa unachemka
Ujana huu umenipa story za kusimuulia maishani, Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010, nilikuwa nakaa kigamboni Dar as salaam sehem moja...
Cheating ni kosa kubwa, lakini si sababu pekee inayovunja mahusiano. Mara nyingi mahusiano hufa polepole kutokana na tabia zinazojirudia kila siku bila watu kuzitambua. Upendo hauondoki kwa siku...
Na sio kuvunja ndoa tu, hata njia za kimafia
Kuna baadhi ya jamii ambazo tangu mtoto akiwa mdogo anakulia mfumo wa kuamini kwamba thamani ya mtu inapimwa zaidi kwa kiwango cha fedha na mali...
Hii ni kwasababu ukioa mwanamke mwenye watoto kuanzia 2 basi unajua kabisa toka mwanzo kwamba umeoa mke wa mtu hivyo unaishi kitaalamu.
Na kama mmewe amefariki basi unakuwa una uhakika zaidi...