Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hello JF! mm ni graduate frm udsm, niko mbeya ninatafuta kazi bado cjapata.. nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na dada flan kwa muda wa mwaka 1 na hatujawahi kutumia condom katk mahusiano...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
WAKE KWA WAUME Ukitaka kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi,Mafupi kama charge ya Blackberry Bold,basi Date na DIVA au SHAROBARO! HAWANA FUTURE HAO,No Hurry like Africa Attitude ndo jadi yao,HAWANA...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Mwanaume hupata haraka moto lakin akitoka jikon hupoa haraka bt mwanamke huchelewa kupata moto lakin akipata moto sawasawa hata atoke jikon itachukua mda kupoa ule moto. Source: dr. Isak ndodi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wakati wanaume mnanifurahisha sana na kuwaona bila nyinyi sisi sio kitu.. BIG UP kwa wanaume wooote wanaowapenda wapenzi wao kwa dhati...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Utafiti uliofanywa hivi karibuni umeitaja Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake hupenda sana kuvumisha mambo na yakaonekana kama kweli. Pamoja na kuwa na vyombo vingi vya habari...
15 Reactions
59 Replies
6K Views
FACEBOOK
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Harusi ifanyike nyumbani afu we ule makoko...wana Mtwara aluta kontinua, yawezekana ninyi ndo mkawa taswira tosha ya mwisho wa hili zimwi likujualo halikuli likakwisha 2014/2015...Mtwara kwanza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naimani penye wengu hapalibiki jambo nakukana mimba si vizuri ila kukubali mimba isiyo yako ni vibaya kuna mwenzangu alhamis nilikutana naye bahati mbaya kinga ikapasuka leo hii ananipigia sm...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
POMBE ILISABABISHA NIKAAMBUKIZWA UKIMWI NAMI NIMEWAAMBUKIZA MAELFU {Ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na...
6 Reactions
66 Replies
9K Views
kama kawaida nikiwa nacheza na keyboard plus google nikaibamba hii somewhere. For those of us with our "bitter halfs" hebu tutoe maujuzi kama kweli hizi nondo zina ukweli wowote. how do you know...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Leo siongezi wala kupunguza neno. Hawa wanaoandika hizi makala sijui huwa wamefanya research wapi.... Did you know the pitch of someone's voice is how we often decide...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani...
8 Reactions
187 Replies
23K Views
Najuta kuolewa na mwanamume nisiye mpenda. Ni stori ndefu lakini kwa kifupi...nilikuwa na boyfriend wangu tuliyependana sana. Tulipanga kuoana na barua ya posa alishaleta kwetu. mchumba wangu muda...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Nina mke huwa ninasafiri kwenda nje, mara nyingi huwa mke wangu hana kawaida ya kuangalia ile begi yangu ambayo huwa nasafiri nayo lkn leo kaichek kaona paket 2 za condom nifanyeje wadau...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
kuna wakati mume anakuwa hawezi kukutana kimwili na mkewe iwe umbali waliopo kwa wakati huo au labda mke akiwa na mtoto mchanga, je kwa wakati huo wote mume atajiridhishaje kimapenzi kwakuwa...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
nina jambo linanitatiza sana labda mtanisaidia kunifungua akili. nina mchumba yupo nje ya nchi na nilikutanishwa na dada yake tulipokuwa shule kwa njia ya simu tu. na nimekutana nae mara moja tu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
5 Reactions
113 Replies
13K Views
1. Aliyezaliwa kuanzia 1991 hadi 1993. 2. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea 3. Anayefikiria kuwa na ujuzi fulani wa share order katika biashara n.k 4. Anayefikiria kujiajiri zaidi kuliko...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wazee wenzangu heshima zenu, nipeta malala0miko kutoka kwa0ndugu yangu wakaribu sana kuwa nduguwote hawampendi kwa uamuzialioufanya kuzaa bila mdoa0walikuaga na ukaribu0fulani sasahivi...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Hi members, natafta girl friend sifa zifuatazo, umri miaka-20-26, Dini- yoyote, Elimu- yoyote, Kazi - vyovyote, Rangi- awe mweupe wa asili. aliyetayari ani pm,:israel:
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…