Wanaume wakati mwingine mnanifurahisha......

Wanaume wakati mwingine mnanifurahisha......

Kuna wakati wanaume mnanifurahisha sana na kuwaona bila nyinyi sisi sio kitu..
BIG UP kwa wanaume wooote wanaowapenda wapenzi wao kwa dhati...
Je kwa wasio wapenda wapenzi wao kwa dhati unawapa nini?SMALL DOWN AU?
 
Kuna wakati wanaume mnanifurahisha sana na kuwaona bila nyinyi sisi sio kitu..
BIG UP kwa wanaume wooote wanaowapenda wapenzi wao kwa dhati...
mwenyewe umemwamwabia kabla ya kutuambia sisi
 
Pole ndio maisha hayo,inaonekana umesha datishwa ila hutaki kukubali matokeo
 
Mfikishie ujumbe na mkunaji baasi....manake usikute jamaa wala hajui....
 
Kuna wakati wanaume mnanifurahisha sana na kuwaona bila nyinyi sisi sio kitu..
BIG UP kwa wanaume wooote wanaowapenda wapenzi wao kwa dhati...
Si kama hawa eehh?

imagesCAXNM6MO.jpgHuyu mkaka anamwambia wa moyo,kuwa makini eeh usiinywe hiyo chai fasta usije ukaungua,kwa jinsi anvomjali yaaaani!

imagesCAF1W21S.jpgHuyu naye anamwambia weka pozi sweety wala usiwaze nipo kwa ajili yako hata ukijikwaa nitakudaka.

img-thing[1].jpgHuyu anamwambia darling wake nitakulinda kwa kila hali.


imagesCAFYJ212.jpgHuyu anamwambia wa ubani napenda kuona ukifurahi ebu nusa hili ua ufurahie uumbaji wa Mungu.


black-love-old[1].jpgHuyu anamwambia nakupenda bado tena sana tu hata kama umezeeka.
Picha tu hizo jamani.Ila hivi mapenzi ya hivi bado yapo kweli kwa hiki kizazi chetu cha nyoka?Tena kama hawa wa mwisho wa mpaka kuzeeshana?
 
hamna, huwa nafurahi sana mwanaume anapompenda kwa dhati mwenzi wako..
 
Nimeipenda hio photo ya tatu... Acha niibe style, pozi..... Ntaende kumbeba mke wangu nimpe na busu .... Lakini amenona ntamueza kweli? Ntajaribuuuuuuuuuuuuu....lol
 
Usikute ana ''LITE" kichwani huyu...
 
Back
Top Bottom