ndugu zangu hawanipendi kisa nimezaa

ndugu zangu hawanipendi kisa nimezaa

Chokochoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2011
Posts
438
Reaction score
184
Wazee wenzangu heshima zenu, nipeta malala0miko kutoka kwa0ndugu yangu wakaribu sana kuwa
nduguwote hawampendi kwa uamuzialioufanya kuzaa bila mdoa0walikuaga na ukaribu0fulani sasahivi wamempandishia vioo
wengine hata simuyake hawapokeina hajagombana nao haelewi ninini ananiombaushauri afanyeje?



0
00 00



000
0
 
pole ndugu huwa inatokea lakini.baada ya muda yanapita. hata mie ndugu yangu alipata mtoto kabla yakuolewa wazazi walikasirika sana lakini baadaye mambo yakawa kawaida
 
Aende kuzungumza nao ili ajue nini tatizo?! kama ni kuzaa nje, aombe radhi au aende na muhusika wakaongee nae! diplomacy
 
samahani,naona maelezo yako umeshindwa kuacha space neno baada ya neno.kikubwa huyo ndugu yako,kuwa nae karibu wewe.ampe priority mtoto wake,na ampe elimu ya kutosha,na yeye ajaribu kujikwamua kimaisha.atoe mfano tosha kwa hao ndugu kuwa kuzaa bila ndoa,maisha kwake hayatotetereka.huyo mtoto akikuwa na akiwa na cheo fulani,watamtaka tu.awe strong
 
Time will solve everything ! Mia..source @figaniga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kujihesabia haki ni kubaya sana!
Yaani Mungu akituangalia na migunia yetu ya dhambi then akaoanisha na tunavyowahukumu wengine, sijui huko aliko anatuonaje vile?? Kama ndugu ameenda kinyume na taratibu, anaonywa na sio kutengwa jamani.

Mi namshauri apiganie kiume, amrudie Mungu wake, mengine yatajitengeneza yenyewe.

Japondugu wana umuhimu wao mkubwa, Lakini wakati mwingine tusinyenyekee ujinga kwa kigezo cha undugu.
 
pengine ni kwasababu wamemshusha thamani na kumwona useless bt l think she has to work very hard na kuprove to them kwamba kuzaa sio mwisho wa kutimiza malengo hapa duniani mpenzi. Kaza buti 2, u dnt have to b sad, wala kuwa na hasira jaribu kuwakwepa kidogo uzidishe juhudi ktk mambo mengine ambayo yatawafanya warudie kumwona wa maana.
 
atafute hela... wote watarudi kambini!
 
tanzania tungekuwa na ndugu kama hao naona kusingekiwa na kugegedana hovyo hovyo na watoto wa mtaani...hongera zao sana hao ndugu...they are very ryt.
 
Mwambie tu na hilo nalo litapita, amrudie Mungu, afanye kazi kwa bidii,ww pia ni mmoja wa ndugu mpe mwenzio kampani ya kutosha.
 
::
Mwambie katika maisha asitegemee kupongezwa na kusifiwa kwa kila atendalo.
::
Hayo ni maisha yake si yao.Ndugu wengine bwana,,wanakuchukia kisa umezaa,ungekuwa umeua?? Habari za zamani,,aangalie maendeleo yake
=
 
Hayo ni mapito tu,ndugu na wazazi huwa wanaona wamedhalilika bt baada ya muda hali itakuwa bomba
 
walitaka utoe hiyo mimba ili uwatunzie heshima halafu baadae ukiwa tasa wakukashifu, achana nao ndugu yako ni mwanao
kama umriwako unaruhusu wapuuze kaa kidogo zaa mtoto wapili utawafungisha
midomo.
 
Si useme ni wewe tu kwani kuna shida gani?
Nakumbuka ulileta threads hapa ya kwanza yakutafuta mume then nyingine ukasema umehamua kuzaa bila ndoa. Na leo umeleta yakuchukiwa na ndugu sbb yamatokeo yakuzaa bila ndoa! Anyway, that's your life you can make it as you wish. Kama una maisha yako independently hao ndugu hata wasipokuja kwako life goes on Ila baadae watarealize that's your life and they are supposed to leave you alone! Kila la kheri katika malezi!



Wazee wenzangu heshima zenu, nipeta malala0miko kutoka kwa0ndugu yangu wakaribu sana kuwa
nduguwote hawampendi kwa uamuzialioufanya kuzaa bila mdoa0walikuaga na ukaribu0fulani sasahivi wamempandishia vioo
wengine hata simuyake hawapokeina hajagombana nao haelewi ninini ananiombaushauri afanyeje?



0
00 00



000
0
 
Wazee wenzangu heshima zenu, nipeta malala0miko kutoka kwa0ndugu yangu wakaribu sana kuwa
nduguwote hawampendi kwa uamuzialioufanya kuzaa bila mdoa0walikuaga na ukaribu0fulani sasahivi wamempandishia vioo
wengine hata simuyake hawapokeina hajagombana nao haelewi ninini ananiombaushauri afanyeje?



0
00 00



000
0

sasa hizo oooo au 000 za nini???
Mchuno mchuno wao chechnia yeye awe bosnia.
Au huyo kazaa kula kulala??
 
aisee Hata Mimi kuna Sista Yangu(mdogo Wangu)
Kazalia Nyumbani
Pumb.av%$...§#* Zake
Kaniuzi Sana
Naona Ni Wale Wale Tu!
 
Back
Top Bottom