Harusi ifanyike nyumbani halafu we ule makoko

Harusi ifanyike nyumbani halafu we ule makoko

SR senior

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
358
Reaction score
68
Harusi ifanyike nyumbani afu we ule makoko...wana Mtwara aluta kontinua, yawezekana ninyi ndo mkawa taswira tosha ya mwisho wa hili zimwi likujualo halikuli likakwisha 2014/2015...Mtwara kwanza Dsm baadae. naogopa kukutetea kwa kua mi c wale wachumia tumbo wanaolipwa kukiteta chama...na kusahau kuwa bandu bandu humaliza gogo...
 
Kweli Ntwara kimeumana. Bwana dhaifu kwa sasa anahemea ICU maana hana ubavu wa kuingilia kati zaidi ya kutoa vitisho ambavyo navyo havina impact. Tawile akina Njomba lajima kieleweke. Chacha lazima wajue kuwa nyinyi mlianzisha vita ya maji maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom