Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao...
9 Reactions
66 Replies
7K Views
Heshima kwenu sisters and young ladies.. Nimeguswa sana na thread ya sister hapo juu aliyetoswa na jamaa yake kisa mama yake hataki kabila lake.. Na kuna mwingine leo leo nae analalamika...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
nina miaka 29 nina mpenz kwa miaka 7 sasa tunakaribia kufunga ndoa hivi karibuni.tatizo mpenz wangu n mvivu ktika suala la mapenz sana na amekuwa akihesabu mara tulizofanya mapenz kwa mwezi na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani naombeni ushauri. miii mtu wa mazoezi sana siwezi miss a weak sijaingia jim. napenda tooo sii kama mnene mwembamba sana ila napenda cuz body yangu inakuwa kwenye shape nzuri. Ila rafki...
1 Reactions
42 Replies
12K Views
Mume: Nilitamani sana muda huu ufike. Mke: Vipi wataka niondoke? Mume: Hapana hata kidogo. Mke: Unanipenda? Mume: Ndio maana yake. Mke: Utaniletea demu mwingine ndani? Mume: Siwezi kufanya...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Bucket List ni orodha ya mambo ambayo ungependa kufanya kabla ya ku expire. Sote tunafahamu kwamba hatujui expiry date ila sote kuna mambo huwa tunatamani hasa tutekeleze. 1. Ningependa kwenda...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu zangu wababa kwa wavulana tuige mfano wa mwanaume huyu. Lengo kubwa kuondokana na mfumo dume uliopo wa kumgeuza mwanamke kama punda kazi siku hizi nikusaidiana mwenzio anapika wewe unaosha...
8 Reactions
71 Replies
13K Views
Ni jambo la kiungwana kuomba ushauri kwa wana JF wenzangu kabla sijafanya maamuzi fulani. Kuna jamaa yangu hapa Mwanza (fundi kompyuta) ambaye nilifahamiana naye kwa mara ya kwanza kupitia nyumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina wasiwasi na maisha yangu,nina miaka28hadi sasa sina mchumba,Nipo chuo kwa sasa,kila mwanamke nikimtongoza hataki kabisa,nahisi kama vile nina mkosi,naomba dada anayejua kupenda anitoe...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Hivi ni kweli wanaopendana sana kiasi cha kuwashangaza wengi,hawadumu ktk uhusiano na hata ktk ndoa? Wenye uzoefu mmewahi kuliona hili? Pia,uchumba unaodumu miaka zaidi ya 3 mara nyingi haudumu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi siku hizi katika mahusiano wapi wanasumbua hasa???wanawake au wanaume??maana kuna kauli mbalimbali sana utasikia wanawake wa siku hizi bwanaa wasumbufu ile mbaya hivi ni jinsia zote mbili...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu)...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
mimi ni msichana, natafuta mpenzi wa kweli, sitaki longolongo, awe amesoma anahold degree au masters, awe mweusi kidogo, mtanashati, awe anapenda mpira wa miguu kucheza asiwe na kitambi, awe...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
kuna wakati binadamu anakutana na msongo wa mawazo na asijue wa kumweleza nani, hata kujihisi kama anaishi peke yake kwenye ulimwengu huu, situation ya namna hii ni mbaya.. kwa kulitambua hili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
UNAWEZA KUDHANI NI MWANAUME SIO?? Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa Marekani...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
I recently sent a post "NATAFUTA MCHUMBA" and i got a few ''interested'' ladies, some were above the age limit, others were a match. Of course i expected to get a good number of ladies but i...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
I have over heard ladies say that a boy becomes a man when he is 18 or 22. But may guys of that age now days are still being pampered either by their parents or guardians. While many at that age...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya...
3 Reactions
122 Replies
13K Views
Ni fantansy ambayo nimekuwa nayo kwa muda wa miaka miwili it's a weird fantansy ila msinijudge mimi ni msichana lakini ningetamani sana kama hata kwa siku moja niexperience mapenzi na msichana...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello JF members..! Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect! Nimerespond kwa...
4 Reactions
119 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…