Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Bucket List ni orodha ya mambo ambayo ungependa kufanya kabla ya ku expire. Sote tunafahamu kwamba hatujui expiry date ila sote kuna mambo huwa tunatamani hasa tutekeleze.
1. Ningependa kwenda North Pole. I would live to see a Polar Bear in its natural habitat. Hivi wanakula watu hawa?
2. I would love to have a couple of girlfriends jamani. And do whatever it is that girls do. Gossip, shop etc.
3. Ningependa kusimama juu ya jengo refu zaidi duniani. Naogopa sana ila ningependa kujua what will happen to me when I do.
4. Ningependa kuendesha magari ya Safari Rally kudaadeki. Yaani on the roughest terrain ever '*****.
5. I would love to go to Vegas with my boys jamani. And as they get laid I would drink myself senseless and stone my a.s.s silly.
6. Ningependa kutubu, na kutumia life experiences zangu (na diary zangu lol) kuwapa ushauri vijana. Tatizo nina wasiwasi wataniona heroine flani watake kuiga.
Wewe je? Ungependa kufanya nini before you kick ze bucket?