Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,567
- 112,222
Mume: Nilitamani sana muda huu ufike.
Mke: Vipi wataka niondoke?
Mume: Hapana hata kidogo.
Mke: Unanipenda?
Mume: Ndio maana yake.
Mke: Utaniletea demu mwingine ndani?
Mume: Siwezi kufanya huo upuuzi
Mke: Je utanibusu milele?
Mume: Kila mara kila wakati.
Mke: Je utanipiga?
Mume: Aa haiwezi kutokea
Mke: Naweza kukuamini?
Mume: Ndio
Mke: Aaaaaah Mpenzi?
Ukitaka kujuwa uhalisia wa mambo baada ya ndoa huwaje anza kusoma thread hii mahojiano ya Mume na Mke kutoka chini kwenda juu.
Nb: Wabongo kwa kupenda kudanganywa ndio maana Shigongo anaingiza mamilioni kwa heading za kusadikika.