Je,,kuna ukweli? Wanaopendana sana..

Je,,kuna ukweli? Wanaopendana sana..

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Hivi ni kweli wanaopendana sana kiasi cha kuwashangaza wengi,hawadumu ktk uhusiano na hata ktk ndoa? Wenye uzoefu mmewahi kuliona hili?
Pia,uchumba unaodumu miaka zaidi ya 3 mara nyingi haudumu?
Yana ukweli haya?
 
Hayana ukweli na kama yana ukweli ni haya mahusiano yetu sisi wa Dijitol
Babu alimuoa bibi akiwa na umri wa miaka 17 wako pamoja miaka 95
 
hayana ukweli hata chembe
sisi tulikuwa marafiki miaka 9
uchumba mwaka mmoja
ndoa yeti ina miaka 8
 
Hivi ni kweli wanaopendana sana kiasi cha kuwashangaza wengi,hawadumu ktk uhusiano na hata ktk ndoa? Wenye uzoefu mmewahi kuliona hili?
Pia,uchumba unaodumu miaka zaidi ya 3 mara nyingi haudumu?
Yana ukweli haya?

yana ukweli....miaka mitatu huyo njemba anakupotezea muda tuu
 
Wanaopendana kiuhalisia ndio wanaodumu.
 
Back
Top Bottom